yalinikuta kwa bint mmoja alinikubalia ila akawa haruhusu hata nimshike wala romance ila alikua anamezea mate vipesa vyangu.Hahahaaa, you can't win all the time. Hata simba, mfalme wa mwitu kunasiku anakwaa kisiki kwa pundamilia, halafu anaangalia mawindo mengine
Mkuu unakua kama mtu mwenye maono vile, unaongea vitu vya ukweli ujue
Aliandika James Hadley Chase, 'YOU NEVER KNOW WITH WOMEN'. Ni shida, kila unavodhani unawaelewa wao wana ku surprise. Sometimes 'ndiyo' kwao inaweza kua 'ndio' au inaweza kua 'hapana' kama ambavyo 'hapana' kwao inaweza kua 'hapana' au 'ndio'! na kisha akakushangaa kwa kutomuelewa!Hapa ndipo panapo thibitisha kuijua saikolojia ya mwanamke ni kazi nyingine ngumu kuliko ya kufukuza kuku mweusi kwenye chumba chenye giza nene..
Yamewahi nikuta hayo ndugu na urafiki hata wiki haukuchukua ulikufa tangu nimuombe tunda
You know what? I very much admire her...very much indeed, kuna wanaume wanabahati maishani kama huyo mumeweKwa jinsi ulivyoandika Mkuu nilijua hitimisho ni kukuvulia picchu hasa ukitilia maanani alivyokuwa akijiachia kwako si ajabu kuliko hata kwa dada yake, lakini akajua si busara kukutimizia adhma yako ya kumtafuna. Yeah! She is a beautiful soul.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah..hii hata haihitaji cheti cha form 4 kujua kwanini aliyekuwa mkeo ana maisha yake na wewe una yako[emoji87]
Juhudi zoote muhimu zilifanyika lakini nakiri nilichemsha mkuuUngepima oil tu na finger ili usikose bolo na pwani
Unataka kusema nini mkuu? Kwamba mdogo wake alimshtakia au?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Absolutely fantasticFanta was fantastic
Ungetia mkojo wako kwenye chai soda au juisi mpe anywe ungetomba siku hiyo hiyoJuhudi zoote muhimu zilifanyika lakini nakiri nilichemsha mkuu
I would rather starve for papuchi(it wont kill me) kuliko nifanye hivo. I wouldn't do that brother.....that's not meUngetia mkojo wako kwenye chai soda au juisi mpe anywe ungetomba siku hiyo hiyo
You know what? I very much admire her...very much indeed, kuna wanaume wanabahati maishani kama huyo mumewe
I hope and pray its so, she has never complained kuhusu hubby wake. Anastahili kuheshimiwaI hope mumewe anamthamini vile anavyostahili kuthaminiwa.
Ili nimfurahishe nani sasa, lakini naheshimu mawazo yakoF....foolish
A...african
N...never
T....take
A...alcohol
Waerevu tunaelewa dhamira ya mtoa post hadi na kuweka hiko kibwagizo ili kujua ni ya kutungaaa