Rafiki shemeji ulinitesa lakini nilikuelewa

Rafiki shemeji ulinitesa lakini nilikuelewa

Umenikumbusha nikiwa form two class kulikua na demu mkali sana, ikatokea nikawa karibu na yule demu, hakuna siri aliyonificha, yaani ukimtongoza lazima aje kuripoti kwangu, na Mimi natia figisu mpaka unakataliwa. Japo nilikua na kademu kangu, ila huyu ukaribu ulizidi mpaka kademu kangu kakawa kanakasirika sana. Dormitory nilikua nataniwa sana (nisipo kula mzigo wenzangu watakula alafu ntaaibika alwatani mimi). Nashukuru mpaka tunamaliza hakuwai mkubali mshkaji yoyote pale. ALWATANI MIMI SIKUPATA FEDHEHA.
sawa bwana ALWATAN
 
Mzigo hukula?,urafiki wa mvulana na msichana ambaye sio ndugu yako unaanzia wapi kwa mfano?
Mi mwenyewe nashindwaga kuwaelewa jamaa wanaokua na urafiki na mademu... mi km demu hunipi ngenya sitaki shobo kabisa....
 
Mi mwenyewe nashindwaga kuwaelewa jamaa wanaokua na urafiki na mademu... mi km demu hunipi ngenya sitaki shobo kabisa....
Nakuelewa mkuu ila binadamu hawafanani, tabia na hulka zinatofautiana, Wamakonde wanasema inategemea ntu na ntu
 
Inapendeza kwakweli ila inaumiza sana nafsi kama lengo kuu lilikua umgegede.
Hahahaaa, you can't win all the time. Hata simba, mfalme wa mwitu kunasiku anakwaa kisiki kwa pundamilia, halafu anaangalia mawindo mengine
 
Hapa ndipo panapo thibitisha kuijua saikolojia ya mwanamke ni kazi nyingine ngumu kuliko ya kufukuza kuku mweusi kwenye chumba chenye giza nene..

Yamewahi nikuta hayo ndugu na urafiki hata wiki haukuchukua ulikufa tangu nimuombe tunda
 
Back
Top Bottom