adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,699
ni rafiki yangu tokea utotoni!
i mean best friend ikafikia akawa ni ndugu yaani flesh blood!
tulipendana hakuna jambo lake au langu kuwa siri kati yetu!
*elimu elimu elimu*
ndio ilifanya mi na yeye iwe part ways yeye alienda kusoma huko US msela mimi nikawa najikongoja kulingana na uwezo wetu yaani kibongobongo unaunga unga maisha tu!
mwaka juzi ikiwa karibu anamaliza high education ndio tukawa tumerudi kuwa na mawasiliano tena ya karibu hadi usiku wa manane tunachat mambo mengi tukikumbushie enzi za std1 hadi Alevel yaani hatukosi cha kuongea mi na yeye unakuta hata muda haututoshi!
OMG my best friend alirudi tanzania tena baada ya kumshawishi aje tuonane!
alifika nikampokea JKNIA kweli siku hiyo niliona raha isio kifani baada ya miaka mingi sana!kila mmoja wetu amebadilika tumekuwa watu wazima mi tayari nna familia!ila mwenzangu anasema hakuwahi kuwa hata na demu toka aende kusoma nje!
nikamkumbushia dem wake flan wa zaman kwamba bado yupo aendelee kuruka nae lakini sikuamini hataki wala hapendi kuskia kuhusu wanawake!
maisha yakaendelea kama kawaida tunakaa tunakunywa hadi usiku wa manane mke wangu akijua niko na rafki yangu na wakati mwingine nawapa simu waongeee!
juzi hapa tumelewa vitu alivyonieleza pombe yote iliruka kidogo nizimie!
kwamba yeye siku hizi ni gay nilihisi ni pombe lakini ilifikia ananilazmisha nikampe dudu langu anawashwa sana!kiukweli niligoma kesho yake hadi leo nna mawazo nahisi kama nnaota sihitaji hata kutoka nae namkwepa!nishaurini nifanyeje walimwengu