Rafiki maskini ni mikosi

Rafiki maskini ni mikosi

Scared

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,847
Reaction score
17,503
Yaani katika maisha yangu urafiki na masikini hapana aisee yaani Kwa pesa hizi nilizonazo halafu niwe na urafiki na masikini aniambukize njaa aisee hapana. Hivi nyie masikini kwanini msipambane na nyie muwe kama Mimi.

Kila siku mnalialia njaa tu baada ya kupambana mnakaa kulialia Mimi sio mnafiki. Nawaambia ukweli pambaneni Mimi huwa nikigundua masikini anataka urafiki na Mimi namzaba kibao maana ananiletea mikosi.
 
Wagonjwa wa akili wanaongezeka siku hadi siku. Kichaa amekaa chini anaangalia matakataka aliyokusanya anayaona ni fedha anaanza kujitamba ana hela. Pole tajiri, nenda hospitali kafanye check up ... matajiri wote hufanya check up ya afya zao.
 
Tafuta hela
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom