Rafiki angu ananiroga

Dunia ya leo (karne ya 21) kwenda kwa mganga wa kienyeji ni jambo la kusikitisha sana.

NJOO KWA YESU UUPOKEE UHURU WAKO.
 
Usiamini sana mambo ya kishirikina, cha msingi mchunguze kama ni rafiki wa kweli au ni mnafiki, kama ni mnafiki tupa kule
 
Duh. Hayo mambo karne hii, mh bongo bado sana.
 
Wewe achana na mambo ya waganga wa kienyeji. Tegemea Mungu zaidi, naamini huyo rafiki yako hakurogi bali unajishutukia tu
 
ndugu huyo babu atakukosesha marafiki muhimu siajabu babu anahisika na mateso yako.........CHANGANYA NA ZAKO
 
kweli kabisa, yalipokuwa mazuri hakutafuta alieyanyoosha sasa yameharibika anatafuta mchawi. Rafiki yake anampa hadi gari sasa akiyaharibu si hata rafiki atakosa.
 
Njoo pm kwa msaada zaidi wa kupona na kuondoa mikosi
 
Siamini waganga aisee ni waongo kwa hali ya juu/ anaangalia jambo gani litakalokupa tension kubwa akikwambia! then anakwambia hilohilo
 
Ulienda kwa yule Mganga wa OFM ya Shigongo?

Kunywa maji rafiki yangu bado kombola la pili
 
Hivi karne hii kuna watu wanaenda kwa waganga??? Mungu akuhurumie na TUBU umrudie usipomrudia Mungu wako hakika UTAKUFA!
 
Ulivyoanza kusimulia "...gari unamuazima na hela ndogondogo unampa..." nilijua hujaoa unaishi maisha ya kisela. Aisee! Jitambue rafiki kitu gani jenga familia mfanye mkeo rafiki namba moja.
 
Nawewe si umroge.....mwambie mganga amroge......jino kwa jino
 
Mkuu njia sahihi ni kusali tu, vinginevyo next atakuambia mama ndio anakuloga
 
Acha kutufanya watoto wadogo humu, toka lini mtu mwenye pesa akajisifu? Tena unajisifia kwa watu usiowajua!!

Hapa JF mtu anasifiwa kwa mchango wake wa kushare knowledge yake tu,huo uwezo wako (kama ni kweli) itakusaidia wewe tu na familia yako.
 
Acha kutufanya watoto wadogo humu, toka lini mtu mwenye pesa akajisifu? Tena unajisifia kwa watu usiowajua!!

Hapa JF mtu anasifiwa kwa mchango wake wa kushare knowledge yake tu,huo uwezo wako (kama ni kweli) itakusaidia wewe tu na familia yako.
Kwani Mimi nimejisifu? We unanijua Mimi. Anyway hakuna tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…