Rafiki anamchukua demu wako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rafiki anamchukua demu wako

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Annael, Jan 19, 2012.

 1. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,400
  Likes Received: 10,518
  Trophy Points: 280
  Kuna rafiki yangu tunamesoma naye. ameniomba ushauri afanye nini baada ya kugundua kuwa rafiki yake wanaefanya naye kazi anatembea na mpenzi wake. Huyo jamaa anajua kila kitu kuwa huyo ni demu wake na huwa anamwelezea kila kitu kuhusu migogoro yao naye jamaa huwa anampa ushauri mwingi sana. Lakini amekuja kugundua kumbe huyo rafiki yake anatembea na kipenzi chake. sasa akaniuliza afanye nn maana jamaa wanafanya kazi ofsi moja.

  Jamani tumsaidieni kijana mwenzetu anachanganyikiwa
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kachanganyikiwa na kitu gani?

  Awasamehe na kuendelea nao wote maisha yaendelee.
  Awapotezee wote maisha yaendelee.
  Achague mmoja maisha yaendelee.
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wewe umeshafanya hivyo au unahamisha matatizo kwa wanajf
   
 4. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mwachie huyo dame hakufai(ni ndimalakuwili). Mjulishe rafiki yako kuwa umeshajuwa janja yake na kuwa umemwachia dame. Hata akikataa baada ya kumpa ushahidi nae pia achana nae. Rafiki kama huyo si mzuri. Ukiendelea naye anaweza kuku umiza hata nyumbani.
   
 5. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Rafiki na Mpenzi, kupoteza vyote kwa wakati mmoja ni pigo kubwa sana! Lakini nafsi yake inapaswa kumuungoza, moyo wake itamuonyesha uchungu upi ataweza kuubeba!

  Kunayeyote aliyeomba msahama hapo!
   
 6. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Inaelekea na yeye sio mwanamme mwenye maamuzi yakiume,kwanza huyo si mchumba wala si mke, Kama amepoteza mahari au pesa za harusi, kama wamependana na Huyo rafiki yake wa kazini amuachie kwa Amani tu,yeye atafute mwengine mbona wamejaa tele wazuri wa sura na tabia! Huyo paka mapepe aachane nae...
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Lol @ demu.
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Waache waendelee kuchukuana....mademu si wapo wenye utu bado??
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We unataka kuchapwa sasa naona.
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Jan 19, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Kakusanye mademu wenzako mje mnichape
   
 11. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  hivi bado kuna watu wanawaamini wanawake!? Duh! Kazi kweli kweli...
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi mwenyewe natosha....we endeleza tu hiyo tabia uone.
   
 13. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Aidha amsamehe au akubali kuendelea kuwa BF mweza, ila ili kupunguza machungu mwambie na yeye atafute mnyonge ammegee. Ndo matokeo ya kuanza kumweleza rafikio maswala ya mpenzio anaanza ku-test zali.
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Wajichanganye, wajipike supu, wajinywe
  Wote watatu hawajui walitakalo wala walitendalo
   
 15. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  achane nae atafute mwingine.
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  swali mbinuko hili,hahahahah
  ndeti
   
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kwanini mmemchukulia kana kwamba huyo dada hajitambui? Hivi watu wakitoka mpaka wakalalani kuna sehemu kuna alama inaonesha nani alimuanza mwenzie? Na hata kama hio alama ingalikuwepo kwani kabakwa? NO! (usha sema anatembea nae, that means more than once); Haya basi anataka amchukie rafikiye mpaka anafikiria la kumfanya/kufanya - Are you saying bado karidhia kuendelea na huyo mdada? Haya mambo ukiaendekeza utaendeshwa saana..... Always mwanadamu ana kutreat the way you want/let them be.

  Mpe pole saana kwa yalomkuta na kutojua/tambua kua hao wawili woote si wema kwake. Na nampongeza bado anam consider kua eti "mpenzi wangu" aaarrrgh!! I am SO fade up of this lousy game!!
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jan 19, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Siku nikipigwa na demu ntajiua
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Well kama ni kamba ya kujinyonga , sumu au bastola andaa kabisa. Utakula kipondo hevi.
   
 20. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mtu mzima haibiwi, akili kumkichwa broda!! Amekuwa gunia la mahindi huyo?? Aahh!!!!
   
Loading...