Rafiki ama Adui?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
12936619_121598231573702_8065162632755650028_n.jpg
 

Attachments

  • 12936619_121598231573702_8065162632755650028_n.jpg
    12936619_121598231573702_8065162632755650028_n.jpg
    51.6 KB · Views: 26
Machine a weapon neither a friend nor an enemy.

A user is either a friend or an enemy..... A USER..
 
Halafu naona ameifungua usalama ameiweka sehem yenye rapid na bado hajaipeleka chemba
 
Kweli umetuacha Ubungo, swali kwanini mashine yote isiwe ya metal? kuna sehemu kuna mbao.
Sehem zenye mbao hizo ni sehem za kushikia.. Hyo ngoma unapokuwa kwenye uwanja wa medan za kivita inapotoa risas mfururizo na kwa mda mrefu hawa inapata moto na metal mara nying good heat conductor wakat ubao haupitishi joto kirahisi.. Sasa ili isikupotezee umakin kwa kukuunguza ndio maana wanaweka ubao....

Hii ni knowledge fupi niliyoipata kutoka kwa wababe wa kivita pale 841 kj, chini Lt Liundi, Lt Nkya, Lt Komanya, Wakiwa chini mbabe mkuu CO Malembo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom