Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,081
- 122,420
Duuh! Ila wanaume nyie. 🤔Hivi ulishawahi kuwa na njaa alafu kuna mtu anakuringisia msosi mpaka njaaa yenyewe inakuonea huruma ina sepa? 😁 😁
Duuh! Ila wanaume nyie. 🤔Hivi ulishawahi kuwa na njaa alafu kuna mtu anakuringisia msosi mpaka njaaa yenyewe inakuonea huruma ina sepa? 😁 😁
Hahahhah..! Pole zenu ujambo lakiniIla wanaume muwe mna mnatuelewa jamani. Sio mwanamke akisusa nyie mnakula kabisaa.
Sababu hasira zipo za kila aina.
Naona unatucheka Mkuu. Wakati hasira zetu zinatofautiana.
Sijambo kabisa! Ee Mungu niepushe na magovi na huyu mke ajae si muda mrefu.Naona unatucheka Mkuu. Wakati hasira zetu zinatofautiana.
Mie Alhamdulillah niko salama. Kwema?
Kwani mume siyo mpenzi?.
Kuna muda mnakuwa hamtaki kusikiliza upande wa mtuhumiwa, na sisi ni wagumu wa kubembeleza mara mbili mbili labda kama ni mwanaume wa DarisalamaSaa nyingine muwe munaangalia, sababu hapo hata kama huyo mwanamke hakuwa na uhakika inapaswa uchukulie chanzo cha yote ni hasira Mkuu.
Sababu unadhania asingemkuta huyo mwanaume angefungasha hiyo mizigo na kuondoka?
Nyie ndo mnazidi kushusha hadhi ya ndoa, we umeambiwa tu tayari ushabeba na virago vyako, kwanini usingefanya uchunguzi yakinifu ukajiridhisha kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app