Rafiki alivyoniponza

Rafiki alivyoniponza

Pole sana ungefanya uchunguzi Kwanza,muombe msamaha mumeo washirikishe wazazi pia!
 
Yaani umeondoka kwako "mwaka"?,kwa ugomvi mdogo hivyo?,unawazazi kweli?ulifundwa kweli?...ACHA UTOTO.

Sent by using-#jtf2-sniper

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uvumilivu una mwisho. Unakuta mwanamke anagubu saana upo kwenye mishe unatafuta yeye anakutumia msg najua upo na mchepuko.

Dawa yao ni hii...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa jirani kila mmoja ikiwa dawa yake ndio hiyo si mtabadilisha wanawake kila leo?

Huyo wa sms saa nyingine ni mapenzi tu yanatuzidia basi na hapo unakuta gubu haliepukiki.
 
Kamuombe msamaha na umweleze pia kilichopelekea kumhisi tofauti,naami kwa sisi wanaume Mungu katujaalia hekima ya kusamehe wapuuzi kama wewe naamini atakusamehe,
Ila ukisamehewa punguza mdomo na kihelehele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za kuambiwa unachanganya na zako.
Enzi za ujana kuna aliyenitonya issue ya jamaa, aliniketea mpaka kadi ya party niende nitamkuta. Nilikwenda kufika nilimkuta na binti macho yetu yaligongana alijifanya hajaniona.

aliomba sana msamaha baada ya pale. Lakini kitendo cha kujifanya hajaniona kilinimaliza nguvu.
ahahahahahaha.
alikua kauzu kwel huyo man.
 
Back
Top Bottom