Rafiki alivyoniponza

Rafiki alivyoniponza

Habari wadau,

Kuna siku rafiki wa karibu alikuja kunipa taarifa kuwa kamkuta mpenzi wangu na dada mmoja ambaye ni malaya sana.

Na aliwakuta barabarani wamesimama na akahofia kuwa kuna ishu inaendelea.
Bila kupata ukweli nikagombana na mume, sasa ni mwaka nimeondoka kwangu na rafiki hana msaada tena.

Leo nagundua nilimkosea mume nae Hana habari na mimi tena. Nifanyaje jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
rafiki mnafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za kuambiwa unachanganya na zako.
Enzi za ujana kuna aliyenitonya issue ya jamaa, aliniketea mpaka kadi ya party niende nitamkuta. Nilikwenda kufika nilimkuta na binti macho yetu yaligongana alijifanya hajaniona.

aliomba sana msamaha baada ya pale. Lakini kitendo cha kujifanya hajaniona kilinimaliza nguvu.
Kuna watu wasanii sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau,

Kuna siku rafiki wa karibu alikuja kunipa taarifa kuwa kamkuta mpenzi wangu na dada mmoja ambaye ni malaya sana.

Na aliwakuta barabarani wamesimama na akahofia kuwa kuna ishu inaendelea.
Bila kupata ukweli nikagombana na mume, sasa ni mwaka nimeondoka kwangu na rafiki hana msaada tena.

Leo nagundua nilimkosea mume nae Hana habari na mimi tena. Nifanyaje jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana,ila kama hana habari na ww kuna uwezekano yuko na mtu anamkeep busy.

Anyway kama bado unampenda na kumuhitaji nenda kaongee nae n next time kumbuka mapenzi ni ya wawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom