Radio za Dar hazisikiki Tabora. Kunani?

Radio za Dar hazisikiki Tabora. Kunani?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,707
Reaction score
1,729
Ilianza Wasafi FM 94.5 tokea mwaka jana, ikaja East Africa Radio 105.2 hii yapata kama mwezi hivi, imefuatiwa na Clouds FM 88.0 na E FM 93.7 hizi ni wiki hii na inayokatakata kwa sasa ni Radio Maria 93.7.

Radio Free Africa ya Mwanza 90.0 yenyewe mvua ikinyesha tu inapotea, sijui mtambo wake unaogopa mvua?
Nawasihi wamiliki wa hivi vyombo vya habari warekebishe tatizo hili.
 
Za dodoma nazo hazisikiki singida. Kuna redio inaitwa kicheko ya moshi na nyingine inaitwa safina ya arusha imeongezeka nyingine inaitwa habari maalum ndio zinasikika singida. Yaani redio za mikoa jirani hazisikiki kabisa. Singida kuna redio moja tu inaitwa standard, uzuri redio zote kubwa za dar na mwanza moja zinasikika singida ila si mkoa wote, kuna maeneo redio hazisikiki kabisa
 
Wanasema kuna madaraja ya urushaji matangazo ya redio ndio maana redio zingine hazisikiki nchi nzima, ni redio za mijini tu
 
Za dodoma nazo hazisikiki singida. Kuna redio inaitwa kicheko ya moshi na nyingine inaitwa safina ya arusha imeongezeka nyingine inaitwa habari maalum ndio zinasikika singida. Yaani redio za mikoa jirani hazisikiki kabisa. Singida kuna redio moja tu inaitwa standard, uzuri redio zote kubwa za dar na mwanza moja zinasikika singida ila si mkoa wote, kuna maeneo redio hazisikiki kabisa
Nilijua tu wewe wa singida
 
Mtihani, sijui TCRA wapo kazini au!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom