yushinbidam
Member
- Jun 7, 2019
- 34
- 40
Sasa kama kipindi yupo mwijaku ataongea nn cha maana
Mkuu mimi ni kijana kama wewe huenda ila focused and progressive youth sipendi ujinga ujinga, nime ishi kwenye nchi ambazo zinategemea Radio ku sensitize jamii na kuelimisha Community yote.How old are you...in case you are in your late 50s, nakushauri, keep tuning your favorite radio station TBC Taifa. Hizi redio zetu za sasa bila hao machawa hazitoboi. Mambo yamebadilika pakubwa na nilazima tubadilike nayo.
Unataka wakale wapi sasa media zenye njaa tupuHamna kitu kinacho bowa kama FM radio station za bongo ni mwendo wa machawa kujipendekeza kwa wenye vyeo, kila kipindi ni kama talk show kama chating program, haziwezi kujenga jamii, nusu ya vipindi vyote ni vya michezo na wa sanii wa muziki, mpira asubuhi mpaka jioni, very boring radio station, hivi Tanzania haina professional Radio presenters? Ukiwa muongeaji kama mzaramo ndo unapewa kazi ?
Ni kweli wana familia ila sense of professionalism ionyeshwe ili jamii ifaidike, hywezi kutumia zaidi ya Lisa unaongelea msani moja aliechaguliwa kua Naibu waziri, hilo linamsaidiaje mtu alioko mpanda mkulima alie nunua betiri kusikiliza radio lako........hi nchi ijakua serious bado Radio stetion tafuteni content au maudhui mazuri ya vipindi vyenu.Unataka wakale wapi sasa media zenye njaa tupu
Sawa ila kwanini usiongelee, sector zingine nje ya siasa, kama Elimu mitaala, kozi za vyuo, ajira, kilimo aina ya mbinu uvuvi chagamoto zao, malezi ya watoto, haki za raia, kuna content nyingi za kuongea, sio wabunifu na wengi presenters ni academic failures isipo kua wana kipaji cha kuongea, ila content ni upupu haijengi jamii, kuna haja ya kubadil I mtizamo wa FM stetion zetu.Serikali ya CCM ndio imesababisha hili, kama ukiongelea hali halisi ya uchumi, mikopo na siasa unapigwa faini, unaambiwa uombe msamaha au unafungiwa. Unategemea nini?!
Ukiongelea michezo au udaku na umbea hupati shida ila mpunga unaingia unategemea wafanyaje[emoji28]
SahihiNi kweli wana familia ila sense of professionalism ionyeshwe ili jamii ifaidike, hywezi kutumia zaidi ya Lisa unaongelea msani moja aliechaguliwa kua Naibu waziri, hilo linamsaidiaje mtu alioko mpanda mkulima alie nunua betiri kusikiliza radio lako........hi nchi ijakua serious bado Radio stetion tafuteni content au maudhui mazuri ya vipindi vyenu.
Hayo uliyotaja naomba uyaongelee weweSawa ila kwanini usiongelee, sector zingine nje ya siasa, kama Elimu mitaala, kozi za vyuo, ajira, kilimo aina ya mbinu uvuvi chagamoto zao, malezi ya watoto, haki za raia, kuna content nyingi za kuongea, sio wabunifu na wengi presenters ni academic failures isipo kua wana kipaji cha kuongea, ila content ni upupu haijengi jamii, kuna haja ya kubadil I mtizamo wa FM stetion zetu.
Mkuu mimi ni kijana kama wewe huenda ila focused and progressive youth sipendi ujinga ujinga, nime ishi kwenye nchi ambazo zinategemea Radio ku sensitize jamii na kuelimisha Community yote.