Radio katika simu

Radio katika simu

Kuna redio moja ambayo huwa haitumii internet inaitwa spirit real fm radio. Ila mala nyingi play tore haipatikani download play store inaitwa mobomarket ndo itafute ila sharti cm iwe rooted.
yap spirit ipo playstore inauzwa dola 7, akishindwa inabidi atafute nje ya store cracked
 
HIYO KITU HAKUNA MKUU AMINI HILO HEBU MWAMBIE JAMAA ALETE MREJESHO UONE
nishadownload sio mara 1 au 2 mara kibao tu. fm radio haitumii internet ndio maana redio zetu majumbani nazo hazitumii internet. ili simu iwe na fm radio inabidi iwe na hardware husika (simu yake inayo galaxy s3) na software ambayo yeye hana ndio tunaitafuta
 
Chief Mkwawa kuna internet radio na Fm radio....zipo internet radio per see kama vile bongo radio, radio mbao nk....lakini kupitia the same internet tunaweza kusikiliza radio zetu zenye origin ya Fm waves kwenye internet.
But what I know hakuna app ya radio za fm kwenye play store isipokuwa app zinazopokea stream radios.

So mhusika kama simu yako haikuwekewa kifaa maalumu cha kupokea fm waves...forget abt that idea kwani will never work...isipokuwa kwa internet pekee
hio link niliyompa ni app ambayo imekuwa extracted kutoka s3 nyengine.

kama hardware ipo kwanini isifanye kazi ukidownload app?
 
Back
Top Bottom