Islam ni dini iliyokamilia!
Haiitajiki abadani nasema!!mfumo mwingine toka nje ya uislam ili utendeke au ufanye kazi sawia! Uislam ni mfumo pekee ambao hukuacha chochote! yani hata jinsi ya kunya (kujisaidia mtaniwia radhi) dini hii imefundisha.
Ole wenu nyie shura ya maimamu, ole wenu ninye basuta, ole wenu ninyi bakwata ole wenu nyie radio imani kwa kuichukua dini yetu hii tukufu na kuifanya mseto na siasa chafu za Tanzania!!! na kutudhoofisha waislam wote ulimwenguni haki hamtakuwa na majibu ya kumpa ALLAH siku saa itakaposimama.
Leo Kagame wa Rwanda anaupromoti uislamu Rwanda kwa kuwa katika maafa ya Rwanda ni waislam pekee ambao walisimama katika dini hawakujichanganya na mavyama au makabila ! hawakujiusisha kabisa na vita ile mbaya kwa sababu Uislam uliwakataza kutambuana kwa makabila.
Leo nyie mnatugawa kwa sababu ya mavyama wakati dini haitaki haki mnafanya dhulma kubwa. Allah akuongozeni na mrejee katika mstari.
Umeandika maneno makubwa na ya hekma,najua watayasoma na kujisahihisha kama wataona inafaa.
yap...style ni ya ku squat....hata kama mtu anatumia choo cha kizungu ni lazima atapanda juu na ku squat....!ndiyo maana vyoo vingi vya maofisini huwa vinaharibika vile vinanihii vya kukalia!Wakisoma hawatajibu kitu. Unafikiri kuhongwa ubwabwa mchezo.
mkuu lakini umenifanya nicheke sana....Muhamad amefundisha hadi jinsi ya kunya? Kwani kunya mnahitaji kufundishwa?
Na kula pia mmefundishwa? Yani mmefundishwa kupiga mpunga? Aseee!
Ninasikia haja..natoka naja..sijui sura inafundisha je jinsi ya kujisaidia..mimi leo gogo lianguke au kojo litoke..mengine baadae...
Kipindi cha 2005 kurudi nyuma enzi hizo CUF ilipokuwa inanguvu na masheikh karibu misikiti yote walipokuwa wanaipigia kampeni misikitini tuliona jinsi ambavyo viongozi wa CCM mapovu yalivyokuwa yakiwatoka kukemea kuchanganya dini na siasa. Kwa kuwa sasa kuna chama ambacho kina nguvu zaidi ya CUF (CDM) ambacho ni tishio kwa CCM, tunashuhudia viongozi wakikaa kimyaa na kueleza kuwa uhuru wa maoni. Baada ya uchaguzi wa Igunga ndiyo watajitokeza kukemea udini, ila kwa sasa kwa kuwa unawanufaisha wanaangalia tu kama nchi haina authorities.
Tanzania ni nchi yenye watu watulivu sana, lakini vitendo vya CCM ama kwa makusudi au kwa kutojua wanaiyeyusha hulka ya utulivu na kupanda hulka ya shari kwa kutotenda haki. Ni wakati sasa wa viongozi wa dini kuhubiri umoja badala ya mfalakano. BAKWATA leo hii imepoteza imani ya waislam wengi kwa kukubali kuwa vuvuzela la watawala badala ya kuendeleza uislam. Tatizo kubwa la dini hii ya mwenyezi mungu inaongozwa na watu wenye uelewewa finyu wa mambo yote, yaani ya kidunia na kiroho. Leo hii unamkuta sheikh mzima anafanya mambo ya kumshushia heshima na credibility lakini bado anang'ang'ania kuswalisha tu ili ale sadaka za msikiti.
Nina hakika wanayoyafanya Radio Imaan na masheikh leo hii kama yangekuwa yanaiangamiza CCM basi tungeisha sikia kituo kimefungiwa na masheikh kukamatwa. Dini ya mwenyezimungu imekamilika kweli kwenye kila idara ya maisha. Ila isitumike vibaya kuangamiza chama fulani. Nina imani kuwa kwa mtazamo wa sasa ni kuwa matendo haya si tu yanawazuia waislam wenye uelewa mdogo kuiunga mkono CDM, bali pia yanaifanya CCM kuonekana kuwa ni chama cha kiislam na kuwakimbiza wakristo wenye uelewa mdogo kuiunga mkono CCM. Yaani kwa CCM hii strategy ni ZERO SUM GAME, tena inaweza kula kwao zaidi. Tukemee huu ubaguzi pale tu unapotoa kichwa si kusubiri umuume adui yetu na baadae ndiyo tuukemee.
Umeongea kama mzawa wa kweli, uislamu unafundisha kupendana wala si kuleta uzushi kwa wengine na kuiaminisha jamii kuwa uzushi huo ni wa kweli. Kwa nini tunatumiwa na CCM (i am sorry) kama con...m ?. Ole wenu bakwata et al mnaochochea moto kutaka kufarakanisha sisi ndugu zute wakristo, kwa kusimamia issues ambazo Magamba wanaziandaa . Kwa nini tusiweke nguvu kuangalia mustakabali wa maisha yetu na vizazi vyetu vijavyo kwa kuanza kuweka mikakati thabiti ya kupata viongozi na taifa ambalo litajali watu na maendeleo yao.Nani asiyejua maisha magumu tuliyonayo yamesababishwa na Magamba, jamani waislamu tuwe makini sana na Magamba.
Islam ni dini iliyokamilia!
Haiitajiki abadani nasema!! mfumo mwingine toka nje ya uislam ili utendeke au ufanye kazi sawia! Uislam ni mfumo pekee ambao hukuacha chochote! yani hata jinsi ya kunya (kujisaidia mtaniwia radhi) dini hii imefundisha.
Ole wenu nyie shura ya maimamu, ole wenu ninye basuta, ole wenu ninyi bakwata ole wenu nyie radio imani kwa kuichukua dini yetu hii tukufu na kuifanya mseto na siasa chafu za Tanzania!!! na kutudhoofisha waislam wote ulimwenguni haki hamtakuwa na majibu ya kumpa ALLAH siku saa itakaposimama.
Leo Kagame wa Rwanda anaupromoti uislamu Rwanda kwa kuwa katika maafa ya Rwanda ni waislam pekee ambao walisimama katika dini hawakujichanganya na mavyama au makabila ! hawakujiusisha kabisa na vita ile mbaya kwa sababu Uislam uliwakataza kutambuana kwa makabila.
Leo nyie mnatugawa kwa sababu ya mavyama wakati dini haitaki haki mnafanya dhulma kubwa. Allah akuongozeni na mrejee katika mstari.
ukishachanganya dini na siasa lazima kuchanganyikiwa ni kawaida..
na hapa inaonekana dhairi kuwa sasa hivi kila kitu wanasiasa wanachofanya wanatumia kigezo cha udini kuficha maovu yao.
pia tena hiyo radio si bakwata waliipigia kelele kwa kutoa tamko la idd kabla ya bakwata kutangaza..
tukio la kuvuliwa hijab unaliona dogo lakin saydina omar aliitisha jesh kwa ajili ya kuwatilisha adabu waisrael waliomvua mwanamke wa kiislam.wao wameambiwa waombe radhi ugumu uko wap kama hawakukusudia si waombe radhi yaisheIslam ni dini iliyokamilia!