Radio Imaan, Shura ya Maimamu, Basuta na Bakwata Mnatudhoofisha Waislam kwa siasa za Tanzania

Ajabu ndiyo hiyo kaka, yani kwenye mambo muhimu tunachinjiana baharini lakini kwenye mambo hovyo kama haya eti tumeungana!

mambo ya hovyo ni yapi wewe?

Siasa siyo mambo ya hovyo..ni mambo muhimu sana, ukiacha siasa kufanywa na watu wa hovyo ndio mambo kuvua mitandio inakuwa sheria!
 
tukio la kuvuliwa hijab unaliona dogo lakin saydina omar aliitisha jesh kwa ajili ya kuwatilisha adabu waisrael waliomvua mwanamke wa kiislam.wao wameambiwa waombe radhi ugumu uko wap kama hawakukusudia si waombe radhi yaishe

Hijab??? ndugu katika imani yani ile unaiita ijabu?? kweli kaka ebu tumwogope mungu! yani hata skafu anayovaa mwanangu wa darasa la pili anapokwenda shule inastara zaidi kuliko hiyo wewe unayoiita Hijabu.
 
Hata kama ni mtandio kwanini wamvue kwa nguvu? je wangefanya hivyo kwa masister wa kikatoliki?
 
Mleta hoja nimependa hoja yako ingawa kunawengine wameingiza masihara ndani yake. Mi nawaomba waislam wasikubali kutumiwa kama mtaji wa kisiasa

Na kikubwa hapa wawe na organization strong itakayosimamia mambo yao ikiwezekana wavunje BAKWATA na kuunda chombo kikingine chenye viongozi wanaojua elimu dunia na akhera
Kuwa na viongozi wanojua korani na haditi tuu hakutoshi kuwafanya waislamu kuweza kucompete na dunia hii ya sayansi na teknolojia katika kukabili changamoto za kimaendeleo ukiwa na std 7 au fom4 magumashi.

Leo hii likitokea jambo linawagusa waislam hata haijulikani nani ndio anawasimamia waislam ,mara shura ya maimamu mara sijui nini yaani ni vurugu mechi na BAKWATA haitakiwi na wailsamu wenyewe

Mimi si mkatoliki lakini kinacho wasaidia hawa jamaa ni strong organisation, yaani ukifika mako makuu yao kuna kila idara na inaongozwa na ma Dr, watu waliobobea katika idara zao na dini pia, na hakuna padri kilaza, wote ni cream iliyochujwa toka form one

Serikalini kuna fursa nyingi sana kwa taasisi za dini, tatizo upande wa uisllamu viongozi hawana elimu dunia ya kutambua na kuzitumiia fursa hizo, na ndio maana wanaishia kusema wakristo wanapendelewa maana upeo wao unakome kwenye dini tu.

Mimi naamini waislamu wakitambua hili inferior complex zote zitakwisha na watagundua walikua wanapoteza sana muda wao kudai kupewe haki ambayo hujatimiza wajibu wake.

Leo hii ni waislam ndio matajiri wakubwa wanoendeshha uchumi wa nchi hii lakini cha ajabu hao matajiri wa kiislamu hutawasikia wakilalamika kuhusu uislam unaonewa,
Na sasa rais ,makamu, jaji mkuu, mkuu wa polisi, usalama wa taifa nk ni waislamu tofauti na ilivyokuwa inalalamikiwa awali lakini mbona bado wanalalamika kuonewa na serikali, kuna tatizo hapa ndugu zangu waislamu, na tatizo hilo haliko kwa mwingine ni ninyi wenyewe.
 
mambo ya hovyo ni yapi wewe?

Siasa siyo mambo ya hovyo..ni mambo muhimu sana, ukiacha siasa kufanywa na watu wa hovyo ndio mambo kuvua mitandio inakuwa sheria!

Muumini wa kweli katika dini hii siku zote anatakiwa kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi, haiwezekani ndugu zangu nikakusikitikia kwa kupigwa chupa baa wakati Allah ameharamisha sisi kunywa pombe au kuingia sehemu kama hizo. Hii ni dini ya ALLAH ndugu zangu tusiifanye kwa maslahi yetu abadan.
 
Mleta hoja nimependa hoja yako ingawa kunawengine wameingiza masihara ndani yake
Mi nawaomba waislam wasikubali kutumiwa kama mtaji wa kisiasa

Na kikubwa hapa wawe na organization strong itakayosimamia mambo yao ikiwezekana wavunje BAKWATA na kuunda chombo kikingine chenye viongozi wanaojua elimu dunia na akhera
Kuwa na viongozi wanojua korani na haditi tuu hakutoshi kuwafanya waislamu kuweza kucompete na dunia hii ya sayansi na teknolojia katika kukabili changamoto za kimaendeleo ukiwa na std 7 au fom4 magumashi.

Leo hii likitokea jambo linawagusa waislam hata haijulikani nani ndio anawasimamia waislam ,mara shura ya maimamu mara sijui nini yaani ni vurugu mechi na BAKWATA haitakiwi na wailsamu wenyewe

Mimi si mkatoliki lakini kinacho wasaidia hawa jamaa ni strong organisation, yaani ukifika mako makuu yao kuna kila idara na inaongozwa na ma Dr, watu waliobobea katika idara zao na dini pia, na hakuna padri kilaza, wote ni cream iliyochujwa toka form one

Serikalini kuna fursa nyingi sana kwa taasisi za dini, tatizo upande wa uisllamu viongozi hawana elimu dunia ya kutambua na kuzitumiia fursa hizo, na ndio maana wanaishia kusema wakristo wanapendelewa maana upeo wao unakome kwenye dini tu.

Mimi naamini waislamu wakitambua hili inferior complex zote zitakwisha na watagundua walikua wanapoteza sana muda wao kudai kupewe haki ambayo hujatimiza wajibu wake.

Leo hii ni waislam ndio matajiri wakubwa wanoendeshha uchumi wa nchi hii lakini cha ajabu hao matajiri wa kiislamu hutawasikia wakilalamika kuhusu uislam unaonewa,
Na sasa rais ,makamu, jaji mkuu, mkuu wa polisi, usalama wa taifa nk ni waislamu tofauti na ilivyokuwa inalalamikiwa awali lakini mbona bado wanalalamika kuonewa na serikali, kuna tatizo hapa ndugu zangu waislamu, na tatizo hilo haliko kwa mwingine ni ninyi wenyewe

Hilo nalo neno .
 
Hata kama ni mtandio kwanini wamvue kwa nguvu? je wangefanya hivyo kwa masister wa kikatoliki?

Angalia sasa ndugu yangu katika imani unavyochanganya mambo! Hivi da Fatma ni Shehati kule Igunga! Ni kiongozi tu wa kitohuti (Kiserikali) rejea katika kitabu na sunna uone ALLAH anaelezea nini juu ya Twahuti kama Fatma
 
Rejea vilevile ukiwa kwenye dhararu unaweza kufanya nini?

Tanzania hakuna serkali ya kiislamu..then kwa logic yako waislamu wasiwe serikalini (DEAD THINKING)

Waisalmu waliojitahidi kuvaa kiislam kwanini wadhalilishwe na vyama vyenye nia ovu kwa waislamu?
 
Pat, Sweke, Lunyungu, Bora kufa, Alhadawi, mmempa shida sana invisible kupitia michango yote ya thread hii na kuifuta michango yenu.
 
Ndugu zangu katika imani tupo nyuma sana kwa kila kitu kinachoniuma mimi ni kuona eti bado tunauchapa usingizi! ebu tuungane kwa mambo ya msingi tuache kulalamika! tutumie fursa zilizopo tusomeshe watoto wetu elimu zote(ahera na dunia) misikiti inatosha sasa tujenge mashule, vyuo mbali mbali vya kitaaluma, tujenge mahospitali, vituo vya watoto yatima ili tuhudumie huu umma wa kiislamu nina hakika tunaweza isipokuwa tu!!!... tunahitaji nia thabiti na uongozi wenye kumcha ALLAH vinginevyo tuna masahil ya kujibu kwa ALLAH (SW)
 
Rejea vilevile ukiwa kwenye dhararu unaweza kufanya nini?

Tanzania hakuna serkali ya kiislamu..then kwa logic yako waislamu wasiwe serikalini (DEAD THINKING)

Waisalmu waliojitahidi kuvaa kiislam kwanini wadhalilishwe na vyama vyenye nia ovu kwa waislamu?

Topical
kwani dc alisema yeye ni muislamu???mbona hajajitokeza kusema imani yake wakati kuna tuhuma kua kaolewa ndoa ya kikatoliki na mkristo anafuga kitimoto??unatetea jina ama imani ya dc wa igunga???
 
Anza wewe kuhimiza (do grassroot work)

Unakataza kulalamika wakati unafanya kitu kile kile...

Jenga shule na taasisi kama wanavyofanya waislamu wengine..
 
Sitetei dini natetea haki yake ya kuvaa, besides inaonyesha hampendi ukristo ndio maana amevaa kiislam
 
Rejea vilevile ukiwa kwenye dhararu unaweza kufanya nini?

Tanzania hakuna serkali ya kiislamu..then kwa logic yako waislamu wasiwe serikalini (DEAD THINKING)

Waisalmu waliojitahidi kuvaa kiislam kwanini wadhalilishwe na vyama vyenye nia ovu kwa waislamu?

Da Fatma alikuwa katika dharula gani kule Igunga? lakini pia sijasema Waislam wasifanye kazi serikali! rejea katika mada Rasul ALLAH (SAW) hakuacha kitu alifundisha pia ikitokea miongoni mwenu mtu akaajiliwa serikalini utendaji wake wa kazi uwe vipi! lakini la muhumu hapa anatakiwa katika kila anachotakiwa kufanya na hiyo serikali yake anatakiwa ajiulize kwanza Je ALLAH ameruhusu ni haki!
 
Anza wewe kuhimiza (do grassroot work)

Unakataza kulalamika wakati unafanya kitu kile kile...

Jenga shule na taasisi kama wanavyofanya waislamu wengine..

Ndugu yangu hunifahamu wala mie sikufahamu! kauli nzuri kwa muumini yeyote ni jambo lilitiliwa mkazo sana katika dini yetu! kama ninayoyaandika hapa yanakukera nisamehe ndugu yangu!
 
Da Fatma alikuwa katika dharula gani kule Igunga? lakini pia sijasema Waislam wasifanye kazi serikali! rejea katika mada Rasul ALLAH (SAW) hakuacha kitu alifundisha pia ikitokea miongoni mwenu mtu akaajiliwa serikalini utendaji wake wa kazi uwe vipi! lakini la muhumu hapa anatakiwa katika kila anachotakiwa kufanya na hiyo serikali yake anatakiwa ajiulize kwanza Je ALLAH ameruhusu ni haki!

Dada Fatuma alikuwa anafanya kazi ya kuhudumia wananchi...hakukuwa na sababu ya chadema kumvua nguo zake...bila ustaarabu.

Zaidi ya chuki
 
Ndugu yangu hunifahamu wala mie sikufahamu! kauli nzuri kwa muumini yeyote ni jambo lilitiliwa mkazo sana katika dini yetu! kama ninayoyaandika hapa yanakukera nisamehe ndugu yangu!

Kauli mbaya ni ipi hapo mkuu?
 
Islam ni dini iliyokamilia!

Haiitajiki abadani nasema!! mfumo mwingine toka nje ya uislam ili utendeke au ufanye kazi sawia! Uislam ni mfumo pekee ambao hukuacha chochote! yani hata jinsi ya kunya (kujisaidia mtaniwia radhi) dini hii imefundisha.

Ole wenu nyie shura ya maimamu, ole wenu ninye basuta, ole wenu ninyi bakwata ole wenu nyie radio imani kwa kuichukua dini yetu hii tukufu na kuifanya mseto na siasa chafu za Tanzania!!! na kutudhoofisha waislam wote ulimwenguni haki hamtakuwa na majibu ya kumpa ALLAH siku saa itakaposimama.

Leo Kagame wa Rwanda anaupromoti uislamu Rwanda kwa kuwa katika maafa ya Rwanda ni waislam pekee ambao walisimama katika dini hawakujichanganya na mavyama au makabila ! hawakujiusisha kabisa na vita ile mbaya kwa sababu Uislam uliwakataza kutambuana kwa makabila.

Leo nyie mnatugawa kwa sababu ya mavyama wakati dini haitaki haki mnafanya dhulma kubwa. Allah akuongozeni na mrejee katika mstari.
Uislam ni kweli ni mfumo uliokamika kam lilivyo tairi kila sehemu ni lazima iguse barabara, bi maana hakuna kipengele chochote kilichoachwa bil kutolewa muongozo. Kabla ya Mtume Muhammad (S.A.W) hajafa ilishuka aya inayosema "Hakika leo nimewakamilishia dini yenu na kuridhia Uislamu iwe dini yenu" hivyo kwa kauli hiyo kila kitu kipo wazi tatizo ni utekelezaji ili watu wasipotee.

Shida inayokuj kwetu ni njaa, japokuwa mtoa mada siungi mkono hoja kuiandama radio Imani kidogo hii radio naona ipo sahihi lakini kwa kuwa hawa jamaa ni mujahidina ndiyo maana haipendwi.
 
Hata kama ni mtandio kwanini wamvue kwa nguvu? je wangefanya hivyo kwa masister wa kikatoliki?

kama hao masista watakuwa wanafanya jambo ovu kinyume na sheria za nchi hata kama wavuliwe nguo zote katika kurupushani ni sawa tu imladi ithibitike walikuwa waovu kisheria na wavuaji wasiwe na malice juu ya nguo zake ila tu kwenye ovu walokuwa akitenda ambolo ni kinyume na sheria za nchi!
 
thubutu! siyo chadema ys slaa
 
Back
Top Bottom