Radio Imaan, Shura ya Maimamu, Basuta na Bakwata Mnatudhoofisha Waislam kwa siasa za Tanzania

tukio la kuvuliwa hijab unaliona dogo lakin saydina omar aliitisha jesh kwa ajili ya kuwatilisha adabu waisrael waliomvua mwanamke wa kiislam.wao wameambiwa waombe radhi ugumu uko wap kama hawakukusudia si waombe radhi yaishe

Aliye vuliwa mtandio baada ya kutenda kosa sio mwislami ... Sasa radhi waombwe waislamu ya nini.
 
BAKWATA ndio imefikisha uislam wa Tanzania hapa maendeleo finyu yanahitajika marekebisho makubwa ndani ya BAKWATA ili uislam uonekane km uislam hao radio iman ni wapya humu bongo lakini wanafanya makubwa ktk uislam haihitaji akili nyingi kuona uislam uko wapi kuna upotoshaji mkubwa ndani ya BAKWATA ktk maswala ya mwezi.
 
hata kama ni mtandio kwanini wamvue kwa nguvu? Je wangefanya hivyo kwa masister wa kikatoliki?

ilikua ni harakati ya kumkamata mhalifu ... Lengo lilikua sio kumvua mtandio. Next time akifuata sheria hakutakua na kashikashi na hivyo mtandio wake hautadondoka kaka ...
 
Kama ambavyo wewe unayo au siyo.as you point one finger to me, four points at you

unachoandika toka mwanzo wa thread unajipambanua kua u mdini...waislamu wanalalamika kua serikali ina mfumo kristo..lakini hao hao ukiwa na wewe Topical bado mnaitetea CCM iendelee kua madarakani..ndo nashindwa kuelewa Topical hutoi solution to muslim what to do ila mnang'ang'ana na hijabu na kulalamikia makanisa.LETE SOLUTIONS WHAT TO BE DONE SIO KULALAMIKA
 
Islam ni dini iliyokamilia!

Haiitajiki abadani nasema!! mfumo mwingine toka nje ya uislam ili utendeke au ufanye kazi sawia! Uislam ni mfumo pekee ambao hukuacha chochote! yani hata jinsi ya kunya (kujisaidia mtaniwia radhi) dini hii imefundisha.

Ole wenu nyie shura ya maimamu, ole wenu ninye basuta, ole wenu ninyi bakwata ole wenu nyie radio imani kwa kuichukua dini yetu hii tukufu na kuifanya mseto na siasa chafu za Tanzania!!! na kutudhoofisha waislam wote ulimwenguni haki hamtakuwa na majibu ya kumpa ALLAH siku saa itakaposimama.

Leo Kagame wa Rwanda anaupromoti uislamu Rwanda kwa kuwa katika maafa ya Rwanda ni waislam pekee ambao walisimama katika dini hawakujichanganya na mavyama au makabila ! hawakujiusisha kabisa na vita ile mbaya kwa sababu Uislam uliwakataza kutambuana kwa makabila.

Leo nyie mnatugawa kwa sababu ya mavyama wakati dini haitaki haki mnafanya dhulma kubwa. Allah akuongozeni na mrejee katika mstari.

Umefanya Utangulizi Mzuri sana, lakini bado hauja unganisha kichwa cha habari na habari yenyewe. Nina Maana ni jinsi gani hao uliowataja wanahusika na malalamiko yako.
 
unachoandika toka mwanzo wa thread unajipambanua kua u mdini...waislamu wanalalamika kua serikali ina mfumo kristo..lakini hao hao ukiwa na wewe Topical bado mnaitetea CCM iendelee kua madarakani..ndo nashindwa kuelewa Topical hutoi solution to muslim what to do ila mnang'ang'ana na hijabu na kulalamikia makanisa.LETE SOLUTIONS WHAT TO BE DONE SIO KULALAMIKA

The issue here is not a solution... situation ilivyo we have to be wise to make choices: between ccm/cuf/cdm

Ukiangalia (kwa wale tunaoshiriki katika uongozi wa kiislam) when it comes to muslims interests...there is no difference.

CCM=CDM=Maaskofu...

Kwa ufupi msimamo wa chadema na ccm na maaskofu kuhusu madai yetu ni moja..so what is the choice?

We go for lesser evil...chama ambacho leo kinavua hijabu, kinamsimamisha padre what will happen wakichukua dola?

Tutaendelea kupambana hadi Muumba wetu atakapotuchukua au haki itakapopatikana
 
Islam ni dini iliyokamilia!

Haiitajiki abadani nasema!! mfumo mwingine toka nje ya uislam ili utendeke au ufanye kazi sawia! Uislam ni mfumo pekee ambao hukuacha chochote! yani hata jinsi ya kunya (kujisaidia mtaniwia radhi) dini hii imefundisha.

Ole wenu nyie shura ya maimamu, ole wenu ninye basuta, ole wenu ninyi bakwata ole wenu nyie radio imani kwa kuichukua dini yetu hii tukufu na kuifanya mseto na siasa chafu za Tanzania!!! na kutudhoofisha waislam wote ulimwenguni haki hamtakuwa na majibu ya kumpa ALLAH siku saa itakaposimama.

Leo Kagame wa Rwanda anaupromoti uislamu Rwanda kwa kuwa katika maafa ya Rwanda ni waislam pekee ambao walisimama katika dini hawakujichanganya na mavyama au makabila ! hawakujiusisha kabisa na vita ile mbaya kwa sababu Uislam uliwakataza kutambuana kwa makabila.

Leo nyie mnatugawa kwa sababu ya mavyama wakati dini haitaki haki mnafanya dhulma kubwa. Allah akuongozeni na mrejee katika mstari.

نقول لهم الحقيقة
 
The issue here is not a solution... situation ilivyo we have to be wise to make choices: between ccm/cuf/cdm

Ukiangalia (kwa wale tunaoshiriki katika uongozi wa kiislam) when it comes to muslims interests...there is no difference.

CCM=CDM=Maaskofu...

Kwa ufupi msimamo wa chadema na ccm na maaskofu kuhusu madai yetu ni moja..so what is the choice?

We go for lesser evil...chama ambacho leo kinavua hijabu, kinamsimamisha padre what will happen wakichukua dola?

Tutaendelea kupambana hadi Muumba wetu atakapotuchukua au haki itakapopatikana

Chaguo lililobaki kwa ajili yako ni CUF mkuu ... mbona unaumiza kichwa?
 
Naomba kuuliza. Hivi kuna taasisi ngapi zinazotolea matamko masuala ya waislam Tanzania
1. BAKWATA
2. SHURA YA MAIMAM
3. WANAHARAKATI WA HAKI ZA KIISLAM
4. RADIO IMAN
5. BARAZA LA MAULAMAA
6. SHIA ITHNAASHERI JAMAAT
7. ISMAILIA JAMAAT
8. BOHORA JAMAAT
9. BARAZA LA SUNNA TANZANIA
10. SHEIKH KUNDECHA(Sikumbuki anawakilisha platform ipi)

Hivi katika hali kama hii proper organization itatoka wapi?

Mi nafkiri waislam tungeanza na kuweka our own house in order.
Tuweke priorities za waislamu ni zipi, both za kiibada na kidunia. Hakuna huu upuuzi wa kulalamika tu kusikoisha, while busy pointing the
finger to fault all others BUT ourselves.

Mathalan, sasa hivi kuna millions wa muslims lakini hakuna mfumo mzuri wa kukusanya zakaat, moja kati ya nguzo tano za uislam.
Na hizi zakaat kama zingekusanywa kwa viwango alivyopendekeza Allah, na kusimamiwa vizuri, zingetosha kabisa kuendesha Mahakama
ya Kadhi, na other charities za kijamii bila kuitegemea serikali kuu.

Badala yake kama alivyosema muanzisha mada, BAKWATA na BASUTA wamekua watumwa wa vyama vya siasa na kusahau kabisa wajibu
na nafasi yao juu ya umma wanaouongoza. Its a pitty, to live and witness these times.
 
Tunafanya kazi ya kunusuru dini ya Muumba na kwa kufanya hivyo atatujaalia makazi mema...sasa huyo mungu wenu ambaye hamumtetee mbona mnatokwa na mapofu kila jumapili na kuandika mi-waraka kila uchaguzi?
Unafanya kosa kubwa kumdharirisha Mungu wako, unadhani utafanikiwa kumshawishi kwa mawazo yako duni!! The god you believe in is so personified, i wonder why you waste much of your time and energy to worship in god who is more human being than huamans themselves.
 
The issue here is not a solution... situation ilivyo we have to be wise to make choices: between ccm/cuf/cdmUkiangalia (kwa wale tunaoshiriki katika uongozi wa kiislam) when it comes to muslims interests...there is no difference. CCM=CDM=Maaskofu...Kwa ufupi msimamo wa chadema na ccm na maaskofu kuhusu madai yetu ni moja..so what is the choice?We go for lesser evil...chama ambacho leo kinavua hijabu, kinamsimamisha padre what will happen wakichukua dola?Tutaendelea kupambana hadi Muumba wetu atakapotuchukua au haki itakapopatikana
nijibu hili..DC wa igunga ni MUISLAMU???nachoshindwa kuielewa BAKWATA unayoiamini ni karibuni JK kaja baraza la iddi na akawanyima mahakama ya kadhi na shule zenu..mbona BAKWATA hawakutoa matamko kuhusu kauli ya muheshimiwa???au kuna mkono wa chadema????kama haki unaitafuta kupitia BAKWATA jua hutoipata...mind you ur choice is wrong koz kwenye ilani ya CCM kuna mahakama ya kadhi ila bado unalishikilia bua litakalokuzamisha kuitafuta haki uitakayo
 
tukio la kuvuliwa hijab unaliona dogo lakin saydina omar aliitisha jesh kwa ajili ya kuwatilisha adabu waisrael waliomvua mwanamke wa kiislam.wao wameambiwa waombe radhi ugumu uko wap kama hawakukusudia si waombe radhi yaishe

ndugu yangu nadhani huijui dini ya kiislam vizuri wewe?mwanamke wa kiislamu,akiolewa na mwanaume ambaye si msilam...dini inasemaje?na Fatuma kaolewa na mkristo,tena katika ndoa ya kikristo,,,huyu bado ni msilamu?nadhani unajaribu kutetea jambo usilolijua.mwakika thread yupo sawa kabisa,tena ni kama hajamaliza gubu lake moyoni.yani kama vipi angeweka post ndefu kabisa.
 
Alhamudhululai wabarakatu, ustadh umetoa maneno yenye hekima mwenyezi Mungu akuongezee tawabu.
 
Borakufa
nimefatilia posts zako zimejaa hekima sana.pia hujachanganya siasa na dini..ni busara kubwa umetumia kumuelewesha Topical ila navomuona ni mtu mwenye chuki na asiyetaka kutoa solution what is to be done kupata viongozi wenye maslahi kwa waislamu..Topical ana chuki kubwa sana ya kidini lakini haitamsaidia kama hataki kubali BAKWATA inatumika kisiasa,

asante mkuu

Tupo pamoja ndugu
 
bakwata ndio imefikisha uislam wa tanzania hapa maendeleo finyu yanahitajika marekebisho makubwa ndani ya bakwata ili uislam uonekane km uislam hao radio iman ni wapya humu bongo lakini wanafanya makubwa ktk uislam haihitaji akili nyingi kuona uislam uko wapi kuna upotoshaji mkubwa ndani ya bakwata ktk maswala ya mwezi.
yaani unachowaza ww ni mwezi tu, mali zinzoibiwa na waislam wajuaji hata huzifikirishi hata kidogo
 
Si mnaona wanaJF waislam wanatanguliza Uzalendo lakini Wakristo wanatanguliza Ukanisa wao,angalia wote waliochangia,sasa hapa CHADEMA iliungwa mkono na bado inaungwa mkono na Makanisa na ushahidi upo dhahiri,na ktk hili msikurupuke kujibu kwa kuhemukwa na Ukristo wenu,na huwa mnajifanya kuwa na serikali huria katka mambo yenu ila katka mambo yanayohusu uislam na waislam mnahitaji kanuni,mkitufikisha huko tusilaumiane.Akili yako isikutume kujibu kama ufaham wako ni mdogo.
 
Back
Top Bottom