Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Utapoteza muda kubishana na watu hao maana shida yao kubwa ni wivu tu wa kimaisha hakuna cha nyama wala nini. Mkristo akifaulu kapendelewa, akiajiriwa sababu mkristo akijenga nyumba kaiba sadaka. Kaamua kula alichochijna nongwa sasa jema lipi?
Hivi mnaponunua nyama za ng`ombe supermarkets ( Shoprites, uchumi au Mlimani city) zinazotoka nje kama south Africa, Botswana Nk mnajua hizo nyama alichinja nani ? Mbona hamuhoji? Waislamu tunakuwa nao nchi mbalimbali zikiwemo Japan, China na kadharika wanakula kila nyama no kuuliza kachinja nani lakini wakiwa home wanajifanyaaa kuwa wao eti wanaimani kali. Hivi Redio Imani na gazeti la Mwanahalisi nani anahatarisha amani ? Mimi naona hata serikali imekuwa Bias katika kuangalia sheria za vyombo vya habari
South Africa kuna Baraza la Kiislaam la ku-certify na kutoa ithibati ya 'Halal certify Food! Kenya pia lipo,