Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
Kwani mkilishwa bila kujuwa ni dhambi kwenu? Mbona hata nguruwe kwenye shida ya chakula si mnaruhusiwa?Uswe usidhan kama unaiskiza peke yako,wao wanasema kwamba kuchinja nyama na wao wenyewe (wakristo) wakaila si tatizo,ila kupeleka mabuchani ndo kutaleta mtafaruku,maana wanaweza wakanunua watu wenye hoteli then wakaenda kuwalisha waislam,
Last edited by a moderator: