Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Then look for Haram ! Refer to Horse meat scandal in UK
Redio imani niredio ambayo aina mbele wa nyuma kwani hata wafanyakazi.wake wanalipwa tshs 159,000/-hivyo ni redi ambayo s mda mrefu tu itafungwa kwani aina msaada hata kdogo.ina tangazo moja la biashara la azam peke yake.awaishi hao
kama kuna uwezekano wa kuwa na kitu kama baraza la kucertify Halal,kwa nini wewe uhangaike na watu wanaojichinjia ? kinascho shangaza badala ya Waislam kusimama na kutetea Imani yao kwa kugomea ununuzi wa nyama ambayo hamjui nani kachoinja nyie mnaaanzisha fujo kutaka haki ya kuchinja iwe mikononi mwenu tu, ni ujinga wa aina gani huu, nilifikiri kama ulivyoandika mara moja mgekaa na kujadili na kujiundika kamati yenye jukumu la kuhalalisha mabucha ya waislam kununua kitoweo, mnashindwa kufanya hivyo kwa kuwa mnajua waislam wengi wana biashara ya mabucha lakini walaji wengi ni watu wasio waislam ambao swala la nani kachinja au kachinja vipi sio big deal,kwao muhimu ni je nyama hiyo inafaa kwa kuliwa na binadam au mnyama husika amekaguliwa na wataalam kama hana magonjwa ?
Anzeni sasa kucertify mabucha ya halal acheni bughuza kwa wale wasio waislam, mimi ni mmoja ambaye nikijua kuwa nyma kachinja Muislam siwezi nunua hata kula, sababu siwezi kula nyama ambayo uchinjaji wake umefuata taratibu za miungu wenu,hiyo nyama ni kwamba imesongolewa kwa miungu,Mkristo hawezi kula nyama anayojua kabisa imechinjwa kwa ibada ya miungu.
Tatizo wenzetu wanakimbilia kuchukua majambia. . . their minds are full of violence! yaani these guys can not think beyond killing[ wewe hujasikia kwamba hawa jamaa kila mmoja ana majini zaidi ya10? Kwanini majini yote yana majina ya kiislam au kiarabu?
It is permissible to eat horses, because of the sound ahaadeeth that have been narrated concerning that.
It was narrated from Jaabir ibn Abd-Allaah (may Allaah be pleased with him) that he said: On the day of Khaybar, the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) forbade eating the flesh of domestic donkeys, but he granted a concession with regard to horses. Narrated by al-Bukhaari, 3982; Muslim, 1941.
It was narrated that Asma bint Abi Bakr (may Allaah be pleased with her) said: At the time of the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) we slaughtered a horse and ate it. Narrated by al-Bukhaari, 5191; Muslim, 1942.
It was narrated that Jaabir (may Allaah be pleased with him) said: We traveled with the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) and we used to eat the flesh of horses and drink their milk. Narrated by al-Daaraqutni and al-Bayhaqi. Al-Nawawi said: with a saheeh isnaad.
It is Halal to Horse Meat.
It is permissible to eat horses, because of the sound ahaadeeth that have been narrated concerning that.
It was narrated from Jaabir ibn ‘Abd-Allaah (may Allaah be pleased with him) that he said: On the day of Khaybar, the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) forbade eating the flesh of domestic donkeys, but he granted a concession with regard to horses. Narrated by al-Bukhaari, 3982; Muslim, 1941.
It was narrated that Asma' bint Abi Bakr (may Allaah be pleased with her) said: At the time of the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) we slaughtered a horse and ate it. Narrated by al-Bukhaari, 5191; Muslim, 1942.
It was narrated that Jaabir (may Allaah be pleased with him) said: We traveled with the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) and we used to eat the flesh of horses and drink their milk. Narrated by al-Daaraqutni and al-Bayhaqi. Al-Nawawi said: with a saheeh isnaad.
It is Halal to Horse Meat.
Tatizo wenzetu wanakimbilia kuchukua majambia. . . their minds are full of violence! yaani these guys can not think beyond killing[ wewe hujasikia kwamba hawa jamaa kila mmoja ana majini zaidi ya10? Kwanini majini yote yana majina ya kiislam au kiarabu?
Kule kanisa mnakoyatowa kwa wakiristo wenzenu, huwa kila mkiristo huja na majini wangapi kabla ya kutolewa !
Ha ha ha, umemshika pabaya ndugu yetu. Nona sasa kimyaa. Kumbe Farasi ni hala tena na Maziwa yake. Khaaa
Mzee nenda katika al Maida, utaona wanyama walioruhusiwa, Farasi hayumo ! Hadithi haiwi juu ya Qur'an !
Yooote yana majina kama yakoKule kanisa mnakoyatowa kwa wakiristo wenzenu, huwa kila mkiristo huja na majini wangapi kabla ya kutolewa !
sidhani kama kwa wakristo kuchinja ni ibada. Kisichotakiwa ni kushiriki ibada za waislamjamaa hebu tuulizane maswali muhim
1. Hivi wakristo walikua wapi myaka yote kuijua hii ibada ya kuchinja?
2. Xpastor/padre wilbod slaa au kadinali pengo mbona wako kimya?
3. Je tuamini kwamba dini ya kikristo haijakamilika kisi ibada nyingine ziwe zinavumbuliwa