socrates jr
Member
- Feb 20, 2011
- 37
- 15
Kuna jamaa hapa anajiita mbishi na kwa wale woote wenye upeo finyu kama wake..hii ni kwaajili yenu!
Tunapaswa kuelewa kwamba pasipo sheria hakuna kosa na hata mtu akifanya kosa lolote lile haijalishi ni la ajabu kiasi gani; lazima hukumu yake iendane na namna ambayo sheria inahitaji...ama sivyo, tutaziweka hisia zetu kuwa kigezo cha hukumu gani itolewe juu ya kosa fulani. Nimependa mfano ulioutoa kuhusu tukio lililowahi kutokea Mwanza siku za nyuma, ni vyema ukafahamu kuwa huyo mchungaji aliachiwa na polisi/mahakama baada ya kukosekana sheria inayomzuia kuchana/kukojolea wala kuchoma Quran! Sikutegemea mchungaji huyo angehukumiwa kutokana na hisia za waislamu bali sheria za nchi na ndicho kilicho tokea. VBivyo hivyo huyo kijana wa mbagala mwisho wasiku ataachiwa huru kwa maana kisheria hakuna lolote alilolitenda baya! Ama kama hamuamini pengine ninyi mtuambie ni sheria gani ktk Katiba ya nchi ambayo kimsingi inamzuia mtu kuchoma, kuchana au kukojolea Quran /Biblia? jibu la wazi ni hakuna...kitendo cha kuchoma makanisa ni kudhihirisha tu chuki za muda mrefu dhidi ya ukristo na vitendo hivi vinaendekezwa na na ****** wa magogoni ambaye kila kukicha haelewi kwamba mambo yaenda kombo badala yake ana-smile na kuweka pauz ili apigwe picha na wasanii!