Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

Status
Not open for further replies.
SHULE EMPTY,UNGEKUA WE UMESOMA UNGEISHI HAPA BONGO NA NJAA KALI???BILA WAKOLONI KUJA KUKUTAWALA SHULE UNGEIJULIA WAPI WW??ET NAWW UTAMBE?UTAMBIE KITU GAN SASA??ET WAISLAM HAWANA SHULE..teh teh teh
kojooleen tena muone sasa...!!asie na heshima hastahili kuheshimiwaa..
 
Hivi kikwete anapitaga jf?? Atakuwa anajisikia vibaya sana! Au keshaeenda mascat?? Ye maisha yake angani, anakuwa keshamuachia ponda maagizo huku ya nini kifanyike ijumaa baada ya swala! Kazi ipo jamani!! Rais huyu, cjui alitokaga wapi?
 
mawazo mgando,na wengi wao wanafikiria kwa kutumia makalio.....ni heri m2 akunyime nguo unaweza azima kwa m2 lakini cyo akili...funga jela hiyo mijitu mizima hyo..nyie ndo mnaojua sheria kuliko polisi na mahakama?
 
Imagine una oga kwenye bafu la passport size akaja mtoto akachukua nguo zako pamoja na taulo,ukatoka nje uchi ukaanza kumkimbiza,nani ataonekana chizi?? Hii scenario inafanana na waislam wa mbagala walichofanya!

Hii issue ni ndogo sana tena imefanywa na mtoto ambaye yuko katika maturity age.

BUSARA NA HEKIMA ITUMIKE kwa huyu mtoto,kama busara ilivyotumika kwa waliokataa kuhesabiwa sensa ambao walivunja sheria. au busara ilivyotumika kumuachia DIBAGULA aliyekashifu wakiristo kuwa YESU SIO MUNGU, au busara ilivyotumika kumuachia kiongozi wa UAMSHO.

Busara itumike zaidi na huyo mtoto aachiwe huru la sivyo panaweza kuchimbika.
 
Baba Mwanaasha anafahamu kuwa bila ukristo yeye asingekuwa hapo alipo yeye ni zao la shule za Makanisa enzi za kikoloni, hivyo anafahamu jinsi waislam wenzake anavyokuwa wengese.
Haingii akilini mtoto moja amtukune polisi afu kijiji kizima kipelekwe mahakani, hivyo hivyo mtoto kukojole quoaran afu wewe unachoma kanisa hizi ni matope si akili
hawa jamaa wakasome waacha mawazo mgando
 
hatuna haja ya kubishana na kanjanja,,watu kama hao waishukuru jamii forum n other social networks,unless otherwise wangeendelea na shughuli zao za kulima chumvi na kuchoma mkaa,af namfatilia kwa karibu sana huyu jamaa,mtu wa kejeli na mwenye chuki na uislam sana huyu,,ila haimsaidii chochote...!!
 
shule empty,ungekua we umesoma ungeishi hapa bongo na njaa kali???bila wakoloni kuja kukutawala shule ungeijulia wapi ww??et naww utambe?utambie kitu gan sasa??et waislam hawana shule..teh teh teh
kojooleen tena muone sasa...!!asie na heshima hastahili kuheshimiwaa..
wakoloni walituletea wote shule! Haya nyie mlikuwa wapi kusoma??? Mlikuwa mnakula pilau eee??? Malipo ndiyo haya sasa, inferiority complex!! Nendeni shule, acheni majungu na kuvuta bangi!
 
Wewe uleyosoma naona unaandika pumba.....

Umetumwa na kanisa au CHADEMA....?
maana hata hamueleweki Hoja ikimuhusu muislamu mnatoa kashfa tu badala ya kujadili hoja.....jipeni moyo hivyo hivyo eti waislamu hawajasoma...ilikuwa miaka hiyoooooooooooo......mtabaki hivyo hivyo ..shule empty ndio nini...wewe utakuwa mkimbizi tu..unataka kutuharibia nchi yetu

na ww umtemwa na msikiti au CUF?

Soma wwe achaa na madrasa naquran za warabu wa madina wanaobaka vitoto vya miaka 6 ndo awe mtume?
 
Mara zote najiuliza, kwa nini hayakutokea hayo zamani? Tatizo ni moja tu, tuna viongozi wa taifa letu wasiojua nini maana ya uongozi. Chanzo cha udini katika taifa letu ni ombwe la uongozi katika taifa letu. Sijajua kama kweli kikwete anajua namna ya kudumisha mshikamano wa taifa letu! Personally ni muslim, ningelikuwa rais ningeifunga iman redio kwa maslahi mapana ya taifa letu. Tanzania ni zaidi ya dini. Dini ni za watu!
 
Wakristo wamekuwa wapole sana,
nadhani sasa ni wakati sahihi wa kuanza kufikiria kujibu mapigo, ni kweli akupigaye shavu la kulia mgeuzie na la kushoto, lakini je, akishakupiga la kushoto unafanyaje, heri kupiga kuliko kupigwa. Shime wakristo amkeni kutoka usingizini.
 
Hivi kikwete anapitaga jf?? Atakuwa anajisikia vibaya sana! Au keshaeenda mascat?? Ye maisha yake angani, anakuwa keshamuachia ponda maagizo huku ya nini kifanyike ijumaa baada ya swala! Kazi ipo jamani!! Rais huyu, cjui alitokaga wapi?
Yupo Vaticani,Maagizo kamuachia Cardinali Pengo.....si mnakumbuka huyu Padri wenu alivyokuwa anampelekesha Mkapa...mpaka mkauwa waislamu mwembechai kwa Amri ya mapadri .....sasa mambo yapo tofauti mnalilia humu JF kila siku...kama una hasira sana kachome Quran moto
 
kukojolewa kwa qur an kwetu sisi sio ishu ndogo,the way mlifofadhaishwa na hao waliokosa akili na subira na kuyachoma makanisa is the same way na sisi tulivofadhaishwa na kile kikinda kuikojolea qur an yetu,,kwaiyo kama vip tupate fundisho wote pande husika then tugawane ustaarabu,mpenda aman ndio mlinda aman,mvunja aman ni yule mwanzilish wa choko choko bila kujali excuse ya ain yoyote ile..!!
 
SHULE EMPTY,UNGEKUA WE UMESOMA UNGEISHI HAPA BONGO NA NJAA KALI???BILA WAKOLONI KUJA KUKUTAWALA SHULE UNGEIJULIA WAPI WW??ET NAWW UTAMBE?UTAMBIE KITU GAN SASA??ET WAISLAM HAWANA SHULE..teh teh teh
kojooleen tena muone sasa...!!asie na heshima hastahili kuheshimiwaa..

mtakali kuchoma makanisa na kula pilau huku wenzenu tunaendelea kutafuta ni kata gani haina chuo kikuu then tunaanzisha chuo ili tupate elimu na mwisho wa siku mtaisoma namba tu na hayo majungu yenu.
 
Ni mavuno yameanza baada ya kupanda mbegu.
walioendekeza chuki za kikabila Rwanda ya wakati huo hawakuwahi kujua kuwa mwisho wao ungelikuwa mbaya kama ilivyotokea na kibaya zaidi ukiwaathiri zaidi waasisi wa chuki hizo.
Tukijitahidi kujenga nchi moja tutafaidika zaidi ya tunavyotaka kufanya sasa
 
na ww umtemwa na msikiti au CUF?

Soma wwe achaa na madrasa naquran za warabu wa madina wanaobaka vitoto vya miaka 6 ndo awe mtume?

Naona unaendeleza kashfa halafu unajiita msomi....!!!!

Utakuwa unazumgumzia mapadri wenu wanao kula TIGO watoto wa kiume kila kukicha.....

Halafu nasikia yule anayekula TIGO kupita kiasi ndio anaye enda kuoongoza kule vatican.

Wewe mwanamme au mwanamke....? kama mwanamme nna swali moja tu..ulisalimika Sunday School ulivyokua mdogo ?
 
Nasikiliza radio imani sasa hivi, wanaongelea kuhusu kukojolewa kwa quran na kuchomwa kwa makanisa.

Wanasema polisi wanatumia kodi za wananchi kuwadhibiti badala ya kuangalia chanzo.

Pia wanasema Mzee mkubwa (Raisi) ameenda kujipendekeza kwa kutembelea makanisa yaliyochomwa. Kwao hili limewakera sana.

my take Serikali ianataka ushahidi gani juu ya uchochezi huu kuifungia radio hii?
unaumwa, waliochoma makanisa na waliokojolea Qur'an waachwe? bali redio iman ifungiwe. umechemsha kweli. kumbuka chombo cha habari kina uhuru wa kuriport uhalisia wa matukio na sio kupindisha habari kama vyombo vya kuripoti matukio kwa ajili ya kupata mkate hata kama sio sahihi. nakushauri usikilize habari wanazoripoti halafu chunguza kama utakuta kuna uongo hata mmoja, mimi nawashauri muige redio hii ili kukomesha uozo uliopo, vinginevyo tutaendelea kudanyana na tutafungia redio zote ibaki moja tu ya serikali kama zamani.
 
Yupo Vaticani,Maagizo kamuachia Cardinali Pengo.....si mnakumbuka huyu Padri wenu alivyokuwa anampelekesha Mkapa...mpaka mkauwa waislamu mwembechai kwa Amri ya mapadri .....sasa mambo yapo tofauti mnalilia humu JF kila siku...kama una hasira sana kachome Quran moto
kweli mkuu tunashukuru wakristo kwa kumpa kikwete kura, maana kutesa kwa zamu. Kikwete atakabidhi vipande vya tanzania 2015.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom