Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

Status
Not open for further replies.
Haya matukio yanaonyesha namna gani waislamu walivo na chuki na wakristu, likitokea jambo dogo tu wanakimbilia kuchoma makanisa na kuharibu mali za wakristu bila kufikiria kidogo nn chanzo cha tatizo. Baada ya kukojolewa msaafu hakuna aliyejiuliza kwa nn umekojolewa au akataka labda huyu mtoto ahojiwe nn kimepelekea akojolee kitabu hicho badala yake wakiongozwa na chuki walirukia makanisa na kuyachoma.
CCM na kikwete walitumia udini kupambana na Slaa kwenye uchaguzi wa 2010, na kuwatumia radio imani akina ponda kwa propaganda zao wakitoa ahadi ya kuunda mahama za kadhi, n.k! Uchaguzi umeisha mbegu walichozapanda zimechipua na sasa zimamea, ndipo hapo tulipo sasa! Najiuliza maswali haya anayeweza anisaidie majibu
1.Vurugu za juzi je wakristu wangeamua nao kujitokeza kulinda makanisa na imani yao nini haswa kingetokea?

2.Radio za kikristu kama Radio Maria, Tumaini Sauti ya Tumaini, Safina radio n.k nazo sasa zikaanza kutoa mada au makala za kuukashifu uislamu na viongozi wa serikali na viongozi waislamu, je serikali itazifungia? na ikizifungia itatoa maelezo gani ya kushindwa kuifungia radio imani ambayo imekuwa ikikashifu ukristu kwa muda mrefu sasa??

3.Kardinali, na maaskofu na mapadri na wachungaji na viongozi wa kikristu wakianza kuwahamasisha waumini kupambana na waislamu na kuyalinda makanisa na mali zao kwa gharama yoyote na kuhubiri uanaharakati haramu kama anavoeneza Ponda na mashehe wengine je serikali itawakamata? ikiwakamata itaeleza kwa nini ilishindwa kumkamata Ponda na wenzie ambao wamekuwa wakifanya hivo kwa miaka?

4.Waislamu haswa wanadai nn? wanataka kutangaza jamhuri ya kiislamu? wanataka wananchi wahame nchi? au ni haki zipi wananyimwa??

5. Chuki hizi za waislamu ni kweli kabisa za kiroho kwa udhati wake au zinasukumwa na siasa?

6.Kama taifa nini sasa tuende kukifanya kuliokoa taifa hili na vita ya kidini ambayo kwa maoni yangu kwa sasa ni kama time-bomb ambalo anytime litalipuka na kulimaliza taifa hili!

Kokojolea Quran tukufu ni jambo dogo?
 
nadhani hiyo radio tuwaaachie wasikilizaji wa vijiweni zaidi
na sio wasomi wenye upeo wa kulijenga taifa.
kama radio ina watangazji wasiozingatia weledi unasikiza ya nini?
nani shawahi ksuikia radio za kikristo zikipinga uislamu au kuleta makundi?
mwenye macho haambiwi tazama.
 
Kwenye michango ya watu wengi hapa kila mmoja anaonyesha anaelemea upande wa imani yake. Na tunapoteza hadhi ya jukwaa hili na kwani ni utafiti gani ulifanyika ukagundua huyo mtoto ni mkristu au dhehebu gani?, je kama mpagani mtajuaje?. Na hatakama na mkristu ndio inamaana kuwa kosa lake yeye lichukuliwe la dini yote? Tuacheni ushabiki tuangalie mustakabali wa Taifa letu:
hapa ndipo penye tatizo la waislamu! waliposikia msaafu umekojolewa hawakutaka kujua umekojolewa na nani na kwa nn wakiongozwa na chuki dhidi ya wakristu waliingia mitaani kuanza kuchoma makanisa na kutaka kuumua aliyekojolea msaafu, busara ingetumika kumsikiliza huyu mtoto ndipo ukweli ungejulikana kama katumwa au ni michezo yao ya kitoto tu!!
 
HAPA NDIPO SIPATI JIBU
Mtoto wa kafiri kakojolea Qura n lakini je kakipata wapi kitabu jicho kitakatifu?
Je inawezekana alikinnua ili aje akikojole?
Je kama alipewa na mwenzie muislam jamani hamuoni hapo tayari mtoto huyu muislam anakosa pia na anatakiwa kuadhibiwa kitabu kituku anaendaje kumpamtu mwenye NAJIS Kitabu cha Iman yake nachona huyu mtoto wa kiislam aadhibiwe na huyu Kafiri pia adhibiwe na kitiwa adabu hii si desturi hata kama si Qura an pia sioni mantiki a kuojolea hapo leo hata gazeti la Mwananchi huwezi kulitolea kojo alafu ulikojolea Hana adabu hana malezi hana mafunzo ya wazazi Sasa atafunzwa na Ulimwengu japo umri wake ni mdogo ila Heshma na Nidhamu lazima ashikishwe ULADOU ZANUU Ndio nchi zetu hizi mtoto Mama Mmoja Baba HAMSINI Wengi na WATOTO WA MAMA Kuna kufundishwa adabu hapo na hili lipo kwa wote sio UISLAM Wala UKRISTO Hakuna uadilifu wala Maadili mema tena
 
Sidhani kama kuna mtu inaunga mkono juu ya kijana huyo wa kikristo kukojolea quran! Ili kinachofanya nishindwe kuelewa ni uhusiano wa kuchoma makanisa na kukojolea quran! Kama kitendo hicho angekifanya Mtu mzima mwenye akili ya ki-utu-uzima hapo tungeelewa. Hata hivyo, bado tendo kama hilo lisingetakiwa kufika mahali lilipofikia la kuchoma makanisa! Tujenge kuvumiliana, sisi wote ni binadamu, imani zetu (ambazo hatukuzaliwa nazo) zisitufanye kusahau kuwa sisi ni binadamu ambao tuko sawa! (Mtoto wa miaka 12 ......... jamaani jamani......)!
 
Kokojolea Quran tukufu ni jambo dogo?
liwe dogo au kubwa jazba za kuchoma makanisa za nn? na je kutaka kumuua aliyekojolea msaafu ndio mafundisho ya dini yanasema hivo?aliyekojolea ni mtu mzima au mtoto ambaye hajui chochote kuhusu msaafu huo?
 
Uhuru wa kuongea na kutoa maoni.....na hayo ndio maoni yako sasa maoni kuna kukubaliwa au kukataliwa
 
Hivi inawezekana kabisa mtoto miaka 14 akakojolea kitabu cha dini wachilia mbali Qur'an hata ikiwa Biblia?

Je mtoto huo amewahi kukojolea vitabu vyake vya shule au vya mwanafunzi mwenzake?

Kwanini mtoto huyo akojolee Qur'an na isiwe vitabu vya skuli au Bible.

pasi na shaka kuna namna hapo.

Ni vizuri Serikali yeu iangalie chanzo kwanza kabla kurukia huko wanakokwenda. Kumbukeni hilo ni suala la kiimani bila busara mengi yatatokea.

Kumbukeni Qur'an haipo Tanzania tu bali ipo duniya nzima. nahofia sana yasije yakawa kama yale ya filamu ya kumkashifu Rasul Mohammad S.A.W na balozi ya nchi ile.

Kuweni makini sana mnaposhughulikia mambo ya kiimani kama haya.

Maswali yote uliyojiuliza Barubaru ni ya msingi kabisa ila majibu yake yalitakiwa kupatikana kabla ya waislamu kuingia mitaani na kuanza kuchoma makanisa, mali za kanisa na kudai aliyefanya hayo atolewe kwao ili wamuue!
 
Nasikiliza radio imani sasa hivi, wanaongelea kuhusu kukojolewa kwa quran na kuchomwa kwa makanisa.

Wanasema polisi wanatumia kodi za wananchi kuwadhibiti badala ya kuangalia chanzo.

Pia wanasema Mzee mkubwa (Raisi) ameenda kujipendekeza kwa kutembelea makanisa yaliyochomwa. Kwao hili limewakera sana.

my take Serikali ianataka ushahidi gani juu ya uchochezi huu kuifungia radio hii?
Hivi chanzo hawakijui kwamba ni Mtoto wao aliyetoa Quaran nyumbani kwao au Madrass na kumpa mwenzake aifanyie utafiti na zaidi ya hapo inaonekana alitumwa na watu ili waweze kupata sababu ya kuvunja makanisa magari ya watu na . Kwa ujumla huyu mtoto aliye toa Quaran ikojolewe, ame fanya kama Hawa alivyo mfanyia Adam ili kula tunda la katikati
 
sio kweli makosa yenu hamyaoni?, bila kijana huyo kukojolea quran mengne yasingetokea. Hatuungi mkono kuchomwa makanisa lakin tunashangaa mnapuuzia alichokifanya kijana wenu na mnakiona ni sawa
kwanini na nyie msingerevenge kwa kukojolea biblia? Au kuichoma moto? Sasa kwa revenge mliyofanya ile ingetokea na wakristu wakachukua hatua kama yenu na kuamua kuchoma misikiti mnafikiri kingefuata nini? Yaani mpo tayari kuweka rehani amani ya nchi kisa utani wa watoto? Waislam akili hamna kabisa, ndiyo maana kwenye nchi za kiislam hakujawahi kuwa na amani ya kudumu.

Sisi wengine huwa tunamshangaa huyo Mungu wenu anayewafundisha kulipa visasi, fitina, magomvi na kukamiana. Hivi haya mnayoyafanya waislamu yanatokana na mafundisho ya dini yenu au ni ukosefu wa shule na bangi? Nashawishika kuamini kwamba huko misikitini yanakutana magenge ya wahuni tu, hakuna waamini huko.
 
Kwanini mnaipa promo hivyo hiyo redio,si muipotezee tu iwahubirie wahusika wake tu?
 
ww unasikiliza hiyo redio ya nn tena,achana kusikiliza upuuzi wanaoongea ,mm nikiwa nasikiliza redio huwa naskeep hiyo channel kwa haraka sana.Hao jamaa ni wachokozi kweli.Sio waislamu hao ni wahuni tu..
Nasikiliza radio imani sasa hivi, wanaongelea kuhusu kukojolewa kwa quran na kuchomwa kwa makanisa.

Wanasema polisi wanatumia kodi za wananchi kuwadhibiti badala ya kuangalia chanzo.

Pia wanasema Mzee mkubwa (Raisi) ameenda kujipendekeza kwa kutembelea makanisa yaliyochomwa. Kwao hili limewakera sana.

my take Serikali ianataka ushahidi gani juu ya uchochezi huu kuifungia radio hii?
 
Kikwete ni dhaifu tena sana, hawezi kuchukua hatua yoyote ya maana juu ya hili! Kwanza nyinyi hamjui kama hii nchi ni ya Waislamu? RAIS, MAKAMU WAKE, RAIS ZNZ, MAKAMU WA KWANZA NA WAPILI, MKUU WA POLISI,etc. Mwema hawezi kuamuru wenzake wakamatwe, mipango hiyo anaijua vema, kwani hupangwa MISIKITINI!
 
Kwa wkeli mimi ni Mkristo.

Kwa hali inavyoenda, huwa sipendi kuongelea masuala yanayohusu dini/udini maana ni kitu ambacho nakiogopa sana. Lakini serikali ikae makini, Wakristo tumechoka kuvumilia huu uonevu tunaofanyiwa na Waislamu. Watu wanawatumia waislam kwa malengo yao binafsi, na wajinga wachache wanachekelea.

Mtoto aliyekojolea Quran yupo polisi akisubiri kufikishwa mahakamani, lakini serikali iniambie yafuatayo:-

1. Zanzibar, makanisa yamechomwa moto mara mbili, na hakuna hatua zozote kali zilizochukuliwa dhidi ya wahusika.
2. Makanisa yaliyochomwa moto mbagala kwa vurugu za juzi, ni hatua gani kali zonazochukuliwa kwa walioharibu makanisa?

Je, pole na masikitiko ya Rais kikwete yanatosha kurudisha hasara iliyopatikana kwa makanisa kwa yaliotokea? ni vile tu hawajui kwa nini Rais alienda, lakini, laiti hakuenda, jana Jumapili nadhani watu mngejua Wakristo kumbe wakiamua wanaweza. Udini sio kitu cha kukichekea wala kutabasamu juu yake, Udini ni kitu kibaya ambacho sote hima tukipinge, japo watawala wachache kwa maslahi yao wanaweka chuki za udini juu ya wajinga wananchi wachache ili kufanya nchi isitawalike. Shime watanzania tupinge kwa nguvu zote udini wa aina yoyote, sisi sote ni ndugu na vita ya kidigi itakapoanza sote ni waathirika.
 
Kinachoendelea humu JF wakristo wana mshambulia Kikwete Kwa sababu ya Uislamu wake.....Kama kikwete anaendesha
serikali vibaya..mshambulieni kama yeye na si kuhusisha dini yake....

Watu wanavaa miwani za mbao, tuhuma zote za ufisadi zilizotokea kipindi cha Mkapa anabebeshwa kikwete

Ni hii tabia imekuwa sugu ..mtu akifanya ishu mbaya halafu ana jina la kiislamu utasikia ooh waislamu hawa ..wamefanya
hivi kwa kuwa hawajosoma...dini yao ndio inavyofundisha kufanya vile

lakini mtu huyo akiwa na jina la kikristo watu wanamjadili bila kuhusisha dini yake...
wanaofanya haya ndio wanajiita wamesoma.......

Inferiority complex zitawaua waislamu.
 
Sura (8:12) - I will cast terror into the hearts of those who disbelieve. Therefore strike off their heads and strike off every fingertip of them

Sura (9:123) - O you who believe! Fight those of the unbelievers who are near to you and let them find in you hardness

Sura (5:33) - The punishment of those who wage war against Allah and His messenger and strive to make mischief in the land is only this, that they should be murdered or crucified or their hands and their feet should be cut off on opposite sides or they should be imprisoned; this shall be as a disgrace for them in this world, and in the hereafter they shall have a grievous chastisement
 
Hv kwanin wahslamu wanapnda kujadili ukristo wakat wakristo hawana mda wakuwajadili wao? Mfano utakuta eti wakristo wanamuabudu yesu sio mungu tena kwa kashfa, je kuna mkristo ambaye huwa ana jaji uhalal wa mtume mhamad kuabudiwa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom