Radio Gani Inatangaza Bunge?

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Bunge Linaendelea, muda huo wengi tupo katika mihangaiko inayoleta chakula mezani lakini tungependa kufatilia. NANI ANAJUA REDIo wanayotangaza Bunge, frequency ni ipi?

Asante!
 
Bunge Linaendelea, muda huo wengi tupo katika mihangaiko inayoleta chakula mezani lakini tungependa kufatilia. NANI ANAJUA REDIo wanayotangaza Bunge, frequency ni ipi?

Asante!

TBC taifa inafanya hivyo hivi sasa - unajua wako chini ya Kiranja Mkuu na leo ndo siku yake ya kusoma budget yake
 
kwa mdau mwenye kujua frequency ya radio yenye kutangaza bunge aziweke jamvini
 
Back
Top Bottom