RADIO FREE acheni u CCM,ukada....

RADIO FREE acheni u CCM,ukada....

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
Katika kipindi cha yasemavyo magazeti leo asubuhi kilichoendeshwa na Liliani Mtono nimesikitishwa na usomaji unaoegemea zaidi katika Magazeti yenye mwelekeo wa kichama (Habari Leo na Uhuru )
Dada huyu amesoma habari zinazowahusu UKAWA kwa kirefu katika magazeti haya mawili na kuyaacha magazeti yanayoandika habari kwa kubalance kama Majira Mtanzania jambo amabalo ni upotoshaji mkubwa juu ya suala la jana n.k hata katika maoni ya Mhariri amesoma katika gazeti la uhuru tu.
Jambo hili si haki kwa chombo huru vinginevyo wajitangaze kuwa redio ya CCM kama radio uhuru.
 
Muangila umenena vema hata mimi nilisikiliza alijikita zaidi kwenye gazeti hizo mbili , ni upuuzi kuendekeza u ccm
 
Hata mie ananikela sana huyu mtangazaji amekaa kimajungu majungu sijui atakuwa ameagizwa na Dialo
 
Nami nimesikitishwa sana na huo ubaguzi uliotolewa magazetin ila tusihofu hoja za ukawa bado ni nzito na haziwezi kupinduliwa kilaini.
 
Anajipendekeza kwa Dialo ili awe secretary wake aweze kuwa anasafiri naye.
 
Katika kipindi cha yasemavyo magazeti leo asubuhi kilichoendeshwa na Liliani Mtono nimesikitishwa na usomaji unaoegemea zaidi katika Magazeti yenye mwelekeo wa kichama (Habari Leo na Uhuru )
Dada huyu amesoma habari zinazowahusu UKAWA kwa kirefu katika magazeti haya mawili na kuyaacha magazeti yanayoandika habari kwa kubalance kama Majira Mtanzania jambo amabalo ni upotoshaji mkubwa juu ya suala la jana n.k hata katika maoni ya Mhariri amesoma katika gazeti la uhuru tu.
Jambo hili si haki kwa chombo huru vinginevyo wajitangaze kuwa redio ya CCM kama radio uhuru.
Khaa!! Nyie kazi kulialia tu. Tumewachoka sasa. Anzisheni zenu tuone kama itasavaivu
 
kwani umelazimishwa kusikiliza, acha sisi tusikilize anzisha radio yako au gazeti lako na hiyo ela mliyopiga hapo bungeni??? Ukawa wamechukua chao mapemaaaaaaaaa naona pasaka itakuwa tamu kweli kweli
 
Mlete maada utakuwa huwatendei haki RADIO FREE AFRICA. Kama ingekuwa TBC1 au TBC Radio FM, hoja yako ingekuwa na mashiko, kwasababu hivyo ni vyombo vya umma vinavyoendeshwa na kodi zetu. Lakini kwa Radio free hicho ni chombo cha binafsi na kimeanzishwa kwa malengo binafsi. FYI, mmiliki wa Radio free Africa na M/kiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza Mhe. Antony Diallo. Hii ni sawa na kuwaambia gazeti la uhuru liandike habari za upande wa pili ambao ni CDM. The best you can do kama unaona radio free Africa they are biased is to turn to another radio, na ndivyo huwa mimi nafanya.
 
Khaa!! Nyie kazi kulialia tu. Tumewachoka sasa. Anzisheni zenu tuone kama itasavaivu

Mh kweli we ni Rohombaya
Tunapolalamika hivi ni katika kumsaidia Diallo asizidi kujiharibia na kama we ni mfuatiliaji RFA ya leo sio ile tuliyoizoea.
 
Last edited by a moderator:
hii redio nilishaacha kutumia zamani sana aiseee
 
Katika kipindi cha yasemavyo magazeti leo asubuhi kilichoendeshwa na Liliani Mtono nimesikitishwa na usomaji unaoegemea zaidi katika Magazeti yenye mwelekeo wa kichama (Habari Leo na Uhuru )
Dada huyu amesoma habari zinazowahusu UKAWA kwa kirefu katika magazeti haya mawili na kuyaacha magazeti yanayoandika habari kwa kubalance kama Majira Mtanzania jambo amabalo ni upotoshaji mkubwa juu ya suala la jana n.k hata katika maoni ya Mhariri amesoma katika gazeti la uhuru tu.
Jambo hili si haki kwa chombo huru vinginevyo wajitangaze kuwa redio ya CCM kama radio uhuru.

Kuna mwenzake anaitwa Ahmed Ally, hopeless wote!
 
kwani umelazimishwa kusikiliza, acha sisi tusikilize anzisha radio yako au gazeti lako na hiyo ela mliyopiga hapo bungeni??? Ukawa wamechukua chao mapemaaaaaaaaa naona pasaka itakuwa tamu kweli kweli

bora hao kuliko....
 
intarahamwe.,,
 
Katika kipindi cha yasemavyo magazeti leo asubuhi kilichoendeshwa na Liliani Mtono nimesikitishwa na usomaji unaoegemea zaidi katika Magazeti yenye mwelekeo wa kichama (Habari Leo na Uhuru )
Dada huyu amesoma habari zinazowahusu UKAWA kwa kirefu katika magazeti haya mawili na kuyaacha magazeti yanayoandika habari kwa kubalance kama Majira Mtanzania jambo amabalo ni upotoshaji mkubwa juu ya suala la jana n.k hata katika maoni ya Mhariri amesoma katika gazeti la uhuru tu.
Jambo hili si haki kwa chombo huru vinginevyo wajitangaze kuwa redio ya CCM kama radio uhuru.

intarahamwe
 
Back
Top Bottom