mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,571
- 23,670
Radio call hazitaji mnaraZinafanya kazi bila mnara?
SawaRadio call hazitaji mnara
tupe elimu kidogo zinatumikajeRadio call mpya nimezifungua mwenyewe mbili kutest na box jingine sikuwai kulifungua.zipo jumla 4 kampuni ya Baofeng BF-88ST. Zina range ya mile 3.ziko poa kabisa zimenunuliwa Marekani.
Njoo uchukue kwa laki 2 zote 4
0749247920
Hapo ni alpha,delta zebra unazijua?tupe elimu kidogo zinatumikaje
Ndio maana zipo nne.Sasa si mpaka unaempigia awe na walk talkie au?
Ndo mana yake hivi maili 3 ni km ngapi?Ndio maana zipo nne.
Unanunua zote, moja unampa mkeo, moja yako nyingine walinzi
Ha haa mkuu!Leo lazima niwajue raia wote katika uzi huu ,wafunga buti kaeni kimya
Yankee Echo SierraHapo ni alpha,delta zebra unazijua?
Pan panMayday mayday
Zipo poa mpe hela jamaa kitu bado kibichi kbs!Yankee Echo Sierra
Nimpe mke wangu hizo walk talkie we jamaa!!Ndio maana zipo nne.
Unanunua zote, moja unampa mkeo, moja yako nyingine walinzi