Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,738 Reaction score 42,832 Mar 14, 2026 #41 Mkoa gani na wilaya gani hiyo radi umeisikia hiyo radi?! maana wengine hatujawahi hata kufika huko Dar Naona anafanya generalisation tu
Mkoa gani na wilaya gani hiyo radi umeisikia hiyo radi?! maana wengine hatujawahi hata kufika huko Dar Naona anafanya generalisation tu
N Nilipe nisepe JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,401 Reaction score 3,328 Mar 14, 2026 #42 Mtoa mada jifunze kuanduka,tumlejee ndo nini??.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,899 Reaction score 95,230 Mar 14, 2026 #43 secretarybird said: Shukran sana mkuu Kwa ukaribisho. Nataka ramadhani hii niende pale mbuyu wa mjerumani kutoa nuksi za hapa na pale. Click to expand... Safi kondoa nuksi na kuleta baraka ,baada ya idd nitakuwa Mguu wa Zuberi kuandaa matanuri ya mkaa ,vijana ndiyo wanapanga magogo.
secretarybird said: Shukran sana mkuu Kwa ukaribisho. Nataka ramadhani hii niende pale mbuyu wa mjerumani kutoa nuksi za hapa na pale. Click to expand... Safi kondoa nuksi na kuleta baraka ,baada ya idd nitakuwa Mguu wa Zuberi kuandaa matanuri ya mkaa ,vijana ndiyo wanapanga magogo.
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 21,617 Reaction score 44,500 Mar 14, 2026 #44 King Kong III said: Safi kondoa nuksi na kuleta baraka ,baada ya idd nitakuwa Mguu wa Zuberi kuandaa matanuri ya mkaa ,vijana ndiyo wanapanga magogo. Click to expand... Jambo zuri sana. Nami mniandalie mkaa nirudie nao huku Babati.
King Kong III said: Safi kondoa nuksi na kuleta baraka ,baada ya idd nitakuwa Mguu wa Zuberi kuandaa matanuri ya mkaa ,vijana ndiyo wanapanga magogo. Click to expand... Jambo zuri sana. Nami mniandalie mkaa nirudie nao huku Babati.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,899 Reaction score 95,230 Mar 14, 2026 #45 secretarybird said: Jambo zuri sana. Nami mniandalie mkaa nirudie nao huku Babati. Click to expand... Sawa Sawa Mkuu....Utamsalimia tajiri Mulokozi.
secretarybird said: Jambo zuri sana. Nami mniandalie mkaa nirudie nao huku Babati. Click to expand... Sawa Sawa Mkuu....Utamsalimia tajiri Mulokozi.
Benzodiazepine JF-Expert Member Joined Oct 18, 2018 Posts 1,264 Reaction score 2,043 Mar 14, 2026 #46 Nilipe nisepe said: Mtoa mada jifunze kuanduka,tumlejee ndo nini??. Click to expand... kabla ya kukosoa uandishi wa mwenzio, inabidi kwanza urejee uandishi wako. Maana nawe ulichoandika hapo watu hawakielewi
Nilipe nisepe said: Mtoa mada jifunze kuanduka,tumlejee ndo nini??. Click to expand... kabla ya kukosoa uandishi wa mwenzio, inabidi kwanza urejee uandishi wako. Maana nawe ulichoandika hapo watu hawakielewi
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 21,617 Reaction score 44,500 Mar 14, 2026 #47 King Kong III said: Sawa Sawa Mkuu....Utamsalimia tajiri Mulokozi. Click to expand... Mchana wa Leo tulikuwa tunapombeka wote pale kwake. Kwa hiyo salamu yako itamfikia.
King Kong III said: Sawa Sawa Mkuu....Utamsalimia tajiri Mulokozi. Click to expand... Mchana wa Leo tulikuwa tunapombeka wote pale kwake. Kwa hiyo salamu yako itamfikia.
P PERAMIHO YETU JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 6,289 Reaction score 17,313 Mar 14, 2026 #48 Al Mukheef said: Huko Peramiho kule mjini sana kunaitwaje? Click to expand... Namihoro karibu sana
mapema JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 962 Reaction score 3,011 Mar 14, 2026 #49 Ajabu si radi ajabu ni mwanaume kuogopa radi!!
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,493 Reaction score 11,653 Mar 14, 2026 #50 Wanaume wa dar waoga kwl,sasa radi nayo ni kitu cha kujadili?
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,338 Reaction score 15,357 Mar 15, 2026 #51 Mimi sikusikia kabisa hata hiyo mvua. Naamka nakuta kuna mti umeporomoka.
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,912 Reaction score 70,668 Mar 15, 2026 #52 mshamba_hachekwi said: Radi ya kawaida mbona? Mimi niliiona. Watu wa dar mnadeka sana, hamjaona radi za Geita. Click to expand... Nachoona huu ukanda wa pwani hauna mvua zenye radi au za mawe ndo maana
mshamba_hachekwi said: Radi ya kawaida mbona? Mimi niliiona. Watu wa dar mnadeka sana, hamjaona radi za Geita. Click to expand... Nachoona huu ukanda wa pwani hauna mvua zenye radi au za mawe ndo maana