Radi ya leo saa nane usiku

Radi ya leo saa nane usiku

Mimi nilikuwa na yandua asee niliposikia mjegeje ukalala
Nilishindwa hadi kulala nilitamani nitoke nje siwezi natamani hata kungekuwa na handaki niingie chini.Radi ya jana sio mchezo
 
wana jamii forums weng mnadhan wote tunakaa dsm wengne tupo huku mpitimbi hakukuwa na rad wala mvua

Ilibid useme radi ya leo huko dsm ilikuwa hatar

Nyambaaf
Tz nzima lbd wewe ulikuwa ulaya 😂 😂
 
Huko mpitimbi nilipita nikielekea Muhukulu
Dah karibu sana hapa mtaa wa madukan sokon unywe ulanz na myakaya

Ulikuwa unaenda mozambique
Watu wa dar,huwa mnahisi kila kinachotokea dar kinasikika nchi nzima ee?
Baeleze bamutu ya dsm

Hao huwa wanalala na ndoo za haja ndogo chumban mwao
 
Back
Top Bottom