Racism within TZ as Arusha hotel denies access to Blacks | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Racism within TZ as Arusha hotel denies access to Blacks

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by skasuku, Apr 26, 2009.

 1. s

  skasuku Senior Member

  #1
  Apr 26, 2009
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 113
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  SOURCE: Sunday Observer

  2009-04-26 13:18:37
  By Adam Ihucha, Lake Manyara


  Manyara-born conservationist David Maige, plus members of his family, had a nasty experience recently, which will be etched on their memories for probably the rest of their lives.

  The man, a Tanzanian national employed by Lake Manyara National Park, took his family to the legendary Lake Manyara Hotel for a leisurely outing that turned out to be an nightmarish anti-climax.

  Upon approaching the main gate of the prestigious lodge, watchmen relayed a piece of information to him which didn`t register immediately as being factual - that the facility was a no-go zone for natives, but the preserve of foreigners and members of the power elite.

  Lake Manyara Hotel is one of the formerly government-owned prestigious lodges in the northern tourist circuit, which was privatized a couple of years back and is now owned by Hotels & Lodges.

  The hotel is located nearly 6 km west-south of Manyara National Park.

  On Thursday this last week, the conservationist disclosed the experience to Natural Resources and Tourism Minister, Shamsa Mwangunga.

  ``Honourable Minister, as domestic tourists, Tanzanians are facing discrimination at the hotel.

  We are not allowed to approach the facility, let alone getting in and being served,`` he lamented.

  An irritated Minister Mwangunga paid a surprise visit to the hotel immediately, to establish the authenticity or otherwise, of the allegations.

  Two of its senior officials -- Group Operations Manager Fred Tenga and General Manager Hamis Juma, put up spirited defence, saying that restrictions on access to the hotel were driven by security concerns, in the wake of terrorist attack threats.

  ``Our hotel is close to a residential area, and so we felt it necessary to control unnecessary influx, taking into account that we have suffered three robbery incidents, `` Tenga told the minister, stressing that security of their clients is one of the top in their agenda.

  On his part, Juma told her that the restriction policy was imposed by the hotel management following attacks on some hotels in the East African region and elsewhere in the world.

  ``Since terrorists have no labels, the management decided to restrict an influx of local people into the lodge,`` the hotel boss noted.

  Responding, the shocked minister said the move was not only frustrating her ministry’s efforts to promote domestic tourism, but also contravened the laws of the land.

  ``Your theory is baseless; after all, these are Tanzanian facilities. How dare you bar them from having a nice time in their own hotel?`` Mwangunga asked.

  The minister then issued a one week ultimatum for the management to revoke the policy and to give her a feedback.

  A panicky Tenga apologized and said the policy was being withdrawn with immediate effect.

  Constructed about 38 years ago, Lake Manyara Hotel, Seronera, Ngorongoro and Lobo lodges formerly belonged to the Tanzania Tourist Corporation (TTC) and were later handed over to Tanzania Hotels Investment when TTC was disbanded in 1992.

  Some years back hotel and lodges were acquired by a local private firm, Hotels and Lodges Limited.

  The firm spent between $14 million and $20 million to rehabilitate Lake Manyara hotel and Seronera, Ngorongoro and Lobo lodges.
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  I think here the issue is to emphasize modern security checking systems rather than relying on manual procedures.

  It is true that you can not know who is who? but if there could be reliable security systems then it is easier to know the belongings of every individual who enters the hotel.
   
 3. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ujinga wa kuonewa ndani ya nchi mwenyewe unahitaji kuisha. Ukiwa nchi ya kigeni ubaguliwe, ukirudi nyumbani nako ubaguliwe?!! Hii inahitaji kuisha bongo, hasa kuwaona wazungu kama miungu flani.
  Huyu jamaa alifanya fresh sana kuipeleka hii ishu juu.
   
 4. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Ningekuwa mimi nisingekubali: tungezipiga hadi niruhusiwe!
   
 5. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2009
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  sasa mimi nikianza kuongelea upendeleo kwa watu wetu naambiwa kwamba "mbaguzi na mgumu kuelewa" tatizo kubwa na watanzania ni wagumu sana kuukubali ukweli tunaiangalia dunia vinginevyo kabisa utawaona akina mwakijiji na wenzake siku zote wakipiga domo kuwatetea wageni hapa kwetu mimi nimesema ni lazima tutoe upendeleo kwa watu wetu kwamba watu woote ambao hawana asili ya kwetu hata kama wamezaliwa hapa kwetu ni lazima tuwatofautishe na kuwanyima kwa makusudi kabisa haki sawa na sisi kwani ndivyo dunia ilivyo, kupingana na hilo ni kujaribu kuukataa ukweli ambao upo dhahiri, wewe mwenyewe umesema kwamba huko ulipo unabaguliwa na ukija hapa nyumbani pia unabaguliwa sasa swali linakuja Je ni mpaka lini tutaendelea kuwa watu wa kudharauriwa? Kumbukeni kwamba mwanadamu anaishi dunia kwa miaka mingi sana na mpaka leo hajweza kubadilisha huo ukweli wa upendeleo sasa nyie akina mwanakijiji ni kina nani mnaofikiri kwamba mna suluhisho la matatizo ya binadamu?
  Narudia tena VITAMBULISHO TOFAUTI KWETU NA WATU WENYE ASILI YA NJE KWANI KILA KITU KINAANZIA HAPO BAADA YAPO TUNAKUJA SHULE, KAZI, MAKAZI, MAZISHI, USAFIRI n.k
   
 6. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2009
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tatizo wangesema wewe ni jambazi na Terrorist
   
 7. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ujinga Mtupu! Huyo meneja mwafrika anayesema 'terrorists have no Label' anaweza kutuambia kuwa ni wazungu wangapi aliishawazuia kuingia hapo kwa kisingizio cha 'terrorists have no Label'? ama hiyo ni kwa ajili ya waswahili wenzake tu?? Inauma kwamba waliotoa majibu hayo wote ni wabantu, angalau kwa majina yao tu. Huu Ujinga sijui utatuisha lini. Tunapenda mno sifa ya kujitia hatuna ubaguzi wakati hao tunaowatetea ndio wabaguzi wa kwanza! Watanzania TUAMKE!!!
   
 8. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu nakubaliana nawe kabisa ya kwamba upendeleo upo duniani kote kuanzia katika elimu,kazi na katika upatikanaji wa huduma mbalimbali. Kwa mfano katika nchi za magharibi na za asia kila utakapoenda katika kupata hizi huduma lazima kuna ka swali ka uhasili wako utaulizwa kama wewe ni raia wa hasili kwa kuzaliwa au la vilevile wataendelea zaidi ya hapo kama uraia wako ni rangi ya asili ya hapo au ya kigeni. Na mwisho wake utaweza kupewa hii huduma kuingana na muonekanao wako katika hili. Na raia hasilia kwa rangi ndio wanapewa kipaumbele zaidi ya wengineo kabla ya wageni.

  Sasa ni muhimu watu wetu wabadilike katika hii fikra ya kuwadharau wazawa na kuwakweza wageni. Na hawa wahusika katika hizi hoteli waweke vyombo vya kisasa katika ukaguzi wa wageni wao na sio kwa kuangalia rangi. Manake ugaidi hauangalii rangi.
   
 9. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,087
  Likes Received: 1,733
  Trophy Points: 280
  Ndugu,
  Hatubaguliwi na mtu ila mfumo wetu wa utawala. Katika mfumo wetu wa utawala uliojaa rushwa usitegemee kuwa hivyo 'vipande' vitafua dafu. Tuzungumzie namna ya kuuondoa mfumo wa hovyo wa rushwa na utawala mbovu unaoongoza Tanzania. Think strategically about uprooting political naivety, and alternatively establishing a political system that reponds to local concerns, issues, plans, goals, mission and visio. Do we have the one anyway? Otherwise, ndugu, we are doomed to live in condemnation of eploitation and discrimination, unfortunately for ever! Is our Tanzanian education curriculum appropriate and consistent with local problem solving expectations? Where did we take the wrong course? Where should we start? Is removing CCM from power enough a strategy to help people make headon? Kuna vichwa. Majibu yatapatikana!
   
  Last edited: Apr 26, 2009
 10. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2009
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele wakuu... ukweli ni kwamba hii mambo ya ubaguzi kwa sasa ni kila mahali.... nenda hata pale Mlimani city, kuna maduka ukiingia kuna walinzi wanakuwa aimed kukuangalia wewe.... sikatai kwamba kuna vibaka lakini kuna ways to control that than the way they are doing now sababu kwa kweli inatia aibu. kibaya zaidi watu wanaokuwa mstari wa mbele kutubagua ni waswahili wenzetu tena wanakuwa wakali kuliko hata mabosi wao.... SHAME ON THEM!!
   
 11. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2009
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  sasa angalia yale yale unaukataa ukweli tena, hayo yoote unayoyasema yanasababishwa na kutokuwa na upendo wa kweli kwa nchi yetu na watu wetu, mapenzi ya kweli yanatokana na kuthamini watu wako, lugha yako, nchi yako kwanza na mengineyo yote ni daraja la pili sasa wewe kwa kuandika kiingereza wakati sisi sote hapa ni watz tayari unaonyesha mapungufu ktk fikra zako, sasa utawezaje kuanza kufikiria kukomesha rushwa kama unathamini wageni kuliko wenyeji????? watu kama ninyi na akina mwanakiji ni sarakani ktk nchi yetu!
   
 12. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hii ni moja ya matokeo mengi ambayo yanaiabisha Tanzania. hayo mambo yanafanyika kila pahali katika Tanzania. Ndio maana niliwahi kuandika kwaba mTanzania hana thamani popote pale duniani hata ndani ya nchi yake. kwa sababu hata hapo AİR PORT DAR ES SALAAM matokeo kama haya yanafanywa kwa waTanzania weusi ,wanao fanya ni Polisi wa Tanzania. wanawatesa sana wasifiri hata kama mtu hana kosa lolote ,mwisho wake wanataka hela. kama wana njaa kwanini wasiwasumbue wahindi au wazungu na waarabu,ili wapate kitu kidogo. kwanini mtu mweusi mwenzao. huku nje( ulaya) sisi ndio tuna sumbuliwa na sio raia . mimi nimechoka na hiyo nchi .upumbavu mtu pu.
   
  Last edited: Apr 26, 2009
 13. s

  skasuku Senior Member

  #13
  Apr 26, 2009
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 113
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuna ule usemi : Mzungu ankwenda Tanzania bila hata senti moja, ila akiondoka anaondoka Milionea!!! Jamani sisi wadanganyika ni lini tutajithamini?

  Alicho sema Takashi kwa kweli linaudhi sana. Mtanzania anarudi kwao, tunapigishwa foleni ndefu, tunaulizwa maswali lundo, ila kwenye foleni ya wageni, wao wanapita fasta fasta. Kwa kweli huu ujinga upo katika DNA!!!
   
 14. Mtu66

  Mtu66 Senior Member

  #14
  Apr 26, 2009
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huu ni mfano tu wa matatizo mengi yanayoendelea kwenye hoteli hizi za kitalii hasa huko Zanzibar ambako mahoteli ya kitalii yanayomilikiwa na wa Italia.
   
 15. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nani kawaambia hawa wapuuzi 'terrorists' ni 'locals' au wanatumia kama sababu ya kuleta ubaguzi?
   
 16. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Hivi hapo hairuhusiwi kumpiga mtu ngumi au kichwa???

  Sema hayajawahi kunifika: ila naona ningezipiga tu!

  Sasa mtu una njia gani ingine kujitambulisha ni Mtz ktk nchi yako??
   
 17. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Na wanapiga simu polisi, wakija unauawa na familia yako.

  Inaudhi sana!
   
 18. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi maeneo hayo hayo pia si ndio wajumbe wa Kamati mojawapo ya Bunge walizuiwa kuingia ndani ya Hoteli moja na hakuna adhabu yoyote iliyotolewa na wabunge wetu wakaishia kulalamika bungeni tu? Kwa nini sisi tumekuwa mazezeta hivi?
   
 19. A

  Alpha JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  This is disgusting.

  There should be zero tolerance for this type of behaviour.
   
 20. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Inaitwa Grumeti ipo maeneo ya serengeti, yaani ilikuwa ni aibu kuizuia hiyo kamati kungia. Walitoa visababu vyao(hao hotel) lakini haipendezi na bado mpaka sasa biashara yao inaendelea.

  Wanakosesha raha hata kwa wazawa kutembelea mbuga mbalimbali, maana wapo watu wanaopenda kwenda na kufurahi rasilimali na mazingira mazuri tuliyonayo nchini kwetu.
   
Loading...