RA Ziarani Nzega-Jumatano na Alhamisi

Domhome

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
3,197
3,930
Mheshimiwa RA atafanya ziara wilayani Nzega kama ifuatavyo:
  • Jumatano 27 Julai, 2010: atatua Nzega saa 1:40 asubuhi na kuondoka saa 2:00 asub.
  • Alhamisi 28 Julai, 2010: atatua Nzega saa 12:00 jioni na kuondoka saa 12:20 jioni.
Safari zote hizo atazifanya kwa ndege.
 
Hivi RA anaweza kubadilisha hata Kalenda ya "Gregorian": Ama kweli bongo tambarare! au Domhome umeipiga chabo hii ratiba?

BTW: Ziara zote zitakuwa ni za dakika 20 tu? Strange?
 
Hivi RA anaweza kubadilisha hata Kalenda ya "Gregorian": Ama kweli bongo tambarare! au Domhome umeipiga chabo hii ratiba?

BTW: Ziara zote zitakuwa ni za dakika 20 tu? Strange?

Ni kweli nilikosea kidogo siku na tarehe, samahani sana kwa usumbufu.

Binafsi najiuliza je, anakuja Nzega kufanya nini wakati jimbo lake ni Igunga? Kwani umbali toka Nzega hadi igunga kwa gari ndogo ni mwendo wa dakika 35. Je, atawezaje kwenda huko na kurudi ndani ya dakika 20 tu?

Bila shaka ni katika mikakati yake dhidi ya Selelii, Mbunge wa Nzega. Anyway i will be back as soon as he land.
 
Hatimaye safari yake ya kwenda Nzega imekuwa cancelled, na ninaambiwa vigogo wa Mgodi kule Nzega walishakuwa wanjani kumpokea ndipo ilipofika 2:02 asubuhi ya leo wakapewa taarifa za safari kuahirishwa.
 
Back
Top Bottom