R Kelly kutoka Gerezani mwaka 2045

R Kelly kutoka Gerezani mwaka 2045

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,131
Unaambiwa Mwanamuziki wa RnB R Kelly anatazamiwa kuachiliwa huru kutoka gerezani Disemba 21 mwaka 2045 na wakati huo atakuwa na umri wa miaka 78!

Mwaka 2021, R Kelly alihukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kutiwa hatiani kwa makosa 9 ikiwemo mashtaka ya unyanyasaji wa kingono, ulaghai, biashara ya ngono na usafiri wa biashara za binadamu (Wanawake na wasichana).

Mwaka 2045 utakuwa na miaka mingapi?

1769416530086.png
 
Rekebisha mwaka kwenye heading
 
Natamani wauaji wa Watanganyika watoke gerezani 2090 pindi wakihukumiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu juu ya mambo ya mo29.
 
Wale jamaa ukishapishana nao/ukiwa hauna thamani/ ukiwa na thamani zaidi ukiwa umekufa/jela kuliko ukiwa hai/uraiani ndio wanakufanyia vitu kama wanavyomfanyia R Kelly hata kama wanayomtuhumu aliyafanya kwa maelekezo/ushawishi wao
 
Back
Top Bottom