SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 552
- 1,306
Kifungo kitakuwa kirefu saaana
Nilikuwa namuonea huruma lkn alizidi ushenz huyu umbwa hasa vile alivyomfanyia mtoto mzuri aaliyah[emoji3525][emoji24] asulubiwe barabara huyu..Kifungo kitakuwa kirefu saaanaView attachment 1955203
Alipoenda kujitetea kwenye TV na mademu wawili anaokaa nao ndani ndio alijifungia kitanzi cha makosa ya sexual slavery
Alipomuoa Aaliya binti wa miaka 15 kwa kuhonga ustawi wa jamii imsaidie ku forge vitambulisho vya Aaliyah ili aonekane mkubwa aliwakera sana Wamarekani
Vitendo vya celebrity mzito, tajiri mkubwa, kulala wanawake na watoto wadogo huku unawapiga video ndio vilidhihirisha kabisa huyu ni sexual predator
Hana wa kumlaumu
Nilikuwa namuonea huruma lkn alizidi ushenz huyu umbwa hasa vile alivyomfanyia mtoto mzuri aaliyah[emoji3525][emoji24] asulubiwe barabara huyu..