R.KELLY IS A MUSIC god

Tazama got talents, clip zote zilizoungwaungwa mtazipata
 
kwenye music industry ya Marekani weusi wanamchango mkubwa sana. wameanzisha Rock, blues, hip hop, RnB, jazz na soul . pia kwenye country wamechangia Banjo.
 
kwenye music industry ya Marekani weusi wanamchango mkubwa sana. wameanzisha Rock, blues, hip hop, RnB, jazz na soul . pia kwenye country wamechangia Banjo.

Huo ndiyo ukweli kaka yangu.
Bila hivyo dunia bado ingekua inasikiliza WALTZ tu.
Kuna watu kama B.B King, Otis Redding, Nina Simone, Louis Armstrong, hawa walikuwa ni legends wa mapinduzi ya music.
 
Mh ni shidaaaa. Alikuwa anavutaje pumzi?
 
Aisee...hakuna maneno utaweza kuyasema mtu akaamini uwezo wa huyu brother,nahisi na naamini hapo alivunja record ya mtu akaweka yake.watu weusi weupe wanajaribu sana kutushusha but Mungu muumba ametujaalia baadhi yetu uwezo wakufanya kitu hata hao weupe wanatuheshimu.
 
Nikusaidie kuhusu kuunga unga picha Mimi ni cinematographer nafahamu vizuri picha zilizoungwa (cutaways) na zile halisi sasa hizo ni halisi Fanya hivi google hayo mashindano ndo utampata vizuri huyo r Kelly
 
Sasa jiulize kwann joe katoka lebo ya jive record?
 
Ndo ujinga gani huu anaouimbaaa
 
huyo jamaa ni kiboko tusiojua music lazima tuseme imeungwa hiyo si bado tupo kwenye singeli... Traped in the closet nimuelewa sana huyu jamaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…