R. Kelly anaweza akawa ana matatizo ya kingono!

Hiyo familia inatafuta pesa kutoka kwa the self-identified pied piper of R&B. Maana mbona binti kakunusha kushikiliwa? Na ana miaka 21!! Hakuna kesi hapo.
 
Shukran jazilan my Coco.

Nami nakupa huu.

Usikilize kwa makini. Sikiliza maneno yake.

Napapenda zaidi hapo mwisho...booty..boooty...booohoooty....:p.

Ila kwa kweli Kells ana kipaji cha uimbaji na utunzi.

Kwa hilo nitampa sifa zake.

Haya iangalie video sasa.....

Nimeangalia nakuufurahia shukurani... nimeusikiliza kwa makini... bebi wako atakuwa anafurahia haswaaaa ukimuwekea.

Yumo kama kawa kwenye CD collection yangu... wengine sisi wa enzi za kale... Hiyo booty boooooty huyo ndicho kinamzengua eeee na wewe unapenda booooooooooty :)
 
Shukran jazilan my Coco.

Nami nakupa huu.

Usikilize kwa makini. Sikiliza maneno yake.

Napapenda zaidi hapo mwisho...booty..boooty...booohoooty....:p.

Ila kwa kweli Kells ana kipaji cha uimbaji na utunzi.

Kwa hilo nitampa sifa zake.

Haya iangalie video sasa.....

Mi naipenda hii.
 
Back
Top Bottom