R.I.P wana chitchat wote

R.I.P wana chitchat wote

Unashangaa nini kutwa kumendea my wife, kwa taarifa yako usiku nimecheza kombolela mpaka kumekucha

Umecheza usiku kucha na hujampata maana sweetlady halali nyumbani! Kwi kwi kwi kwi kwi!
 
Last edited by a moderator:
Tena mwambie kabisaa kuwa umbea sio kazi, kazi ni kusutwa!


Baba V umkome na umtue my hazibendi...nakijua ninachompendea!

Shem za masiku? Asa si ungetu'hints angaa uduchu unachompendea ni mihela yake au mlaji mzuri wa papai ?
 
Last edited by a moderator:
Bishanga na Nyani Ngabu inabidi tuwaandalie ukumbi wa kusutana nanyi kama watakavyosutana kina FP na snowhite. Wanaume wenzng visa vya nini? Nani kampora mwenzake mke au hawara?

alikuwa anajishebedua na demu flan hivi bishanga nikamfanzia na kwa kumwonyesha mimi ni nani na mimba nikamtandika nayo kabisa,dadadadadeki chezeiya bepari wewe Nyani Ngabu alipayuka mpaka koo likakauka.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Filipo taratibu bana, mie nasmamia na kutekeleza sheria, sipewi rushwa ya mbunye mie,

Kwenda zako huko.
Hapo unatamani hata nikupe Valeur unywe ulewe il ujifanye umepasahau kwako ili ukalale kwangu.
Jikatae,niache nipumuwe mtoto wa Marehemu mieeee...
 
Last edited by a moderator:
Uoga wa nini mkuu,kama ni uoga wa ngumi yuko sahihi, sura yenyewe ile afu akipigwa magumi si ndo itakuwa balaa? Atamtaka nani tena hata sweetlady mwenyewe alimbahatisha tu

Unambishia Filipo kwanini? hujui kuwa nitonye anadundwa na sweetlady na anakimbilia chini ya meza? kwa taarifa yako hakuna mwanaume mwoga kama nitonye........ huyu jamaa ana deki nyumba na kufua nguo za sweetlady na za watoto
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom