R.I.P wana chitchat wote

R.I.P wana chitchat wote

Uoga wa nini mkuu,kama ni uoga wa ngumi yuko sahihi, sura yenyewe ile afu akipigwa magumi si ndo itakuwa balaa? Atamtaka nani tena hata sweetlady mwenyewe alimbahatisha tu

hah hah hah hah! Kwi kwi kwi kwi! Hilo atajibu Mungi na atalitolea ufafanuzi sweetlady!
 
Last edited by a moderator:
Thanx nawewe kwa kumpa makavu live.
Kama anabisha njooni mpute mchanga mkononi,tupige mstari.

Madame B tuombe razi haraka!
"utupige mstari ?" mstari wa binadamu unaujua ulipo ?
Najua unajua kwa vipi nimejua zis iz abyuzi !
 
Last edited by a moderator:
Uoga wa nini mkuu,kama ni uoga wa ngumi yuko sahihi, sura yenyewe ile afu akipigwa magumi si ndo itakuwa balaa? Atamtaka nani tena hata sweetlady mwenyewe alimbahatisha tu

Mimi ni handsome wewe Baba V acha umbea
 
bro nitonye ni aje? Ulikuwa bado ume rest in pieces?

Nilidhani leo kutatokea unyakuo watu tutaenda kurest in peace kumbe tunatakiana usiku mwema. Huyu mtakatifu tabasamu ana masihara sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom