R.I.P wana chitchat wote

Ututue we @smilling saint,
Cha kutaka kufa ucngzini kitu gani?

Na ole wako nife usiku huu,Utantambua.

teh teh teh wala sio kufa ila tu ni kupumzika kwa amani, tena nakuombea upewe raha ya milele
 
Kila msemo na pahala , wakati na eneo lake!
Kwenye mnuso wa harusi hewezi peleka condolence or tribute au sympathy !
Na ndivyo msibani huwezi peleka congratulation , happy birthday au recovery soon!
Mf. Ulio utoa hapa ni kama vile umwambie mwanamke akanyoe ndevu, ukimaanisha akanyoe mazivu! Kwani tumefikia kua muflisi wa maneno stahili in a particular events? Sitaki niamini hivyo.
 
Afu we Mchoyo wa kutoa :A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up: wewe,
Haya tu.
 
siling Saint kwa kukukomoa nimegoma kusinzia basi afu nione kama utanirestishaje in pisi lolestinations! Utaniweza? Komaa na kina Erickb52, Bishanga, Madame B na Judgement. FYI imekula kwako kwani silali ng'oo!! RIP mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Kwani siri Judgement? Mara ya mwisho kutoa LIKE ni lini? Hata kama huwa tunapost ujinga, hakuna ujinga uliokufurahisha uweke LIKE? Madame B thanx!

Mhe mbona kuhusu LIKE wengi tulishalitolea maelezo?
Inshort sie Mob. Users ili tutoe like twatakiwa tuingie kwenye Desktop kitu ambacho kinawezekana, eventhough tukiingia huko gharama ya uliwaji wetu wa mega bite unakua mkubwa kupita maelezo.
Ni hilo tu, na si vinginevyo.
 
hata mimi mbona natumia mobile? Ukiingia cku 1 1 kutoa sio mbaya.
 
Judgement amesema kuna maneno ya kila mahali huwezi kutumia lugha ya shuleni ukiwa mahakamani kila maneno na mahala pake pa kutumia.....................

Mleta thread umechemka mbaya sana.............................
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom