R.I.P wana chitchat wote

R.I.P wana chitchat wote

Mhe mbona kuhusu LIKE wengi tulishalitolea maelezo?
Inshort sie Mob. Users ili tutoe like twatakiwa tuingie kwenye Desktop kitu ambacho kinawezekana, eventhough tukiingia huko gharama ya uliwaji wetu wa mega bite unakua mkubwa kupita maelezo.
Ni hilo tu, na si vinginevyo.

my shem umesema kweli tupu... afu ukiswitch to desktop inakuwa very slow..n unaweza toka airport mpk buhongwa bado page haijafunguka lol.... afu wakati inaload we unaliwa MB zako kha!!!!!
 
Judgement na Dena Amsi, kuna msemo wa kizungu husema style doesnt matter but the content.

mmenifanya nikumbuke wale wakenya waliotaka kukataa mahindi ya msaada kisa yaliandikwa "dog's food"!

by the way i hope pamoja na wadau walio wengi you had a peacefull rest and i take this opportunity to wish you a peacefull day

hivi nani anapenda kupumzika pasipo na amani? si utakutana na stress tu!

na nnawatakia mapumziko ya amani wote waliokuwa night shift

last but not least... ndio maana iko chitchat.. lol
 
Last edited by a moderator:
We utakuwa ulikunywa piritoni

Arushaone, inasemekana kuwa arusha kuna kitu inaitwa mikongoraa, na gomba, sasa hebu tujulishe wewe leo umetumia ipi?

kaka Erickb52, naona umeshatoka kwenye resting yako, siku njema kaka
 
Last edited by a moderator:
Kwani siri Judgement? Mara ya mwisho kutoa LIKE ni lini? Hata kama huwa tunapost ujinga, hakuna ujinga uliokufurahisha uweke LIKE? Madame B thanx!

Thanx nawewe kwa kumpa makavu live.
Kama anabisha njooni mpute mchanga mkononi,tupige mstari.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom