R.I.P Silas Philipo

Kiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
459
Reaction score
62
Alikuwa msela wa kitaa ndani ya kijiji cha Ngaritati wilayani Siha .alisoma shule ya sekondari Nuru shule ikawa ngumu akaachia kidato cha pili. Akaanza kuwa mchizi wa kitaa na kunywa pombe za kienyeji "nzuga" au dadi pamoja na banana .angekua amemaliza kidato cha nne 2010. Kwa bahati mbaya jana kajidunga sindano nyingi zaidi zikamzidi mwishowe akaanza kutapika damu juhudi za kuokoa maisha yake zimeishia K.C.M.C usiku wa jana R.I.P
 
pole sana! ulichukua hatua gani baada ya kijana mwenzio kuanza kutumi vileo?
 
hilo ni fundisho lako wewe mpenda pombe za kienyeji..
 
pole sana! ulichukua hatua gani baada ya kijana mwenzio kuanza kutumi vileo?

nilimshauri. Je wewe ktk mtaa wako hakuna watumiaji wa vileo na madawa ya kulevyia je wewe unafanyaje?
 
alale salama SILAS, ila kajitakia kifo mwenyewe, kwahiyo huu msiba hauna kilio.
 
nilimshauri. Je wewe ktk mtaa wako hakuna watumiaji wa vileo na madawa ya kulevyia je wewe unafanyaje?
mimi najitahidi kuongea nao na kuwashauri,lakini pia nawaombea kwa MUNGU ,kwani kwake hakuna lisilowezekana
 
hivi unajua kila mtu akipost kifo cha rafiki yake huko kijijini kwao JF kutajaa matangazo ya vifo?
 
jamani wanajf, kuna maisha baada ya kifo, maandalizi ni kumpokea BWANA YESU(KUOKOKA) katika maisha yako!.
 
hivi unajua kila mtu akipost kifo cha rafiki yake huko kijijini kwao JF kutajaa matangazo ya vifo?

mkuu ray05 mimi pia nimeliona hilo ingawa wachangiaji wengine hawajali-note,kila mtu akianza kutangaza hivyo siitakua vurugu tupu humu jamvini?r.i.p Silas
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kusema rest in peace, tunatikiwa kusema Mungu amuweke mahali anapostahili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…