R.I.P our beloved classmate Anita Chombo

R.I.P our beloved classmate Anita Chombo

N-imeachia kinywa kwa mshangao. ! Anita nimesoma naye weruweru1996-1998 chini ya Mama M-suyu wakati ule . ANITA mara ya mwisho kumwona ilikuwa pale mwenge kwa wadada wa kusuka tukaongea kidogo...ilikuwa kama miaka mitatu au miwili iliyopita. Mtoa taarifa Anita alikuwa anaumwa nini jamani/?Wema hawakai Jamani lol! Kwa wanaomkumbuka Laura George wa ITV zamani huyu ni dada wa Anita kabisa. Lo! nGUMU KUAMINI.
Anita tulikuwa darasa moja liliitwa PLAIN na akina Anande mwasha, dhelida mfanga. Rafiki yake mkubwa alikuwa Dida muhamed. Huyu binti alikuwa na roho nzuri hakujisikia kama walivyokuwa wengine kwenye kundi lake.
Mungu amuweke pema peponi. AMEN
Pole sana Mkuu,hii dunia ni mapito tu.
 
Back
Top Bottom