R.I.P our beloved classmate Anita Chombo

R.I.P our beloved classmate Anita Chombo

dansmith

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
2,305
Reaction score
2,096
Kilimanjaro primary School 1994
Usiku wa kuamkia leo tumempoteza mpendwa wetu Anita Chombo .Raha ya mile le umpe ee Bwana 'Mwanga wa milele umwangazie
IMG-20160222-WA0004.jpg
 
Udongo unakula vitu vizur sana. RIP.

Duc in Altum
 
Poleni sana wafiwa, nilikua sijamuona muda kidogo. May she RIP
 
Poleni sana mungu awape nguvu na uvumilivu.Msiba upo wapi?
 
Pole mkuu,
ila kuhusu kuanika picha yake hapa ni sawa? umepata ruhusa yeyote toka kwenye familia ya marehemu?
Nauliza tu,
Samahani lakini.
 
Back
Top Bottom