The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
R.I.P
CleverKING nini maana ya habari iliyokamilika?Pole mkuu,
ila kuhusu kuanika picha yake hapa ni sawa? umepata ruhusa yeyote toka kwenye familia ya marehemu?
Nauliza tu,
Samahani lakini.
Vibaya vinaendelea pumua jf amansijakuelewa kwikwikwiUdongo unakula vitu vizur sana. RIP.
Duc in Altum
SHIDA N KUCREAM PICHA HAZIRUHUSIWI...NILITARAJI UNGEMUULIa private pengine alikuwa kipenzi chake shuleni...jamani mengine mkiona andiken TU rip inatoshaCleverKING nini maana ya habari iliyokamilika?
Angetoa habari bila picha watu wangehoji huyo marehemu ni nani?
Hebu nikuulize nini madhara ya kuweka picha yake hapo? Sio picha ya ugonjwa wala ajali?
Mbona kumbukumbu za wapendwa wenu huwa zinawekwa magazetini(Obituaries) ama TBC kuna kipindi cha matangazo
Habari hukamilika na picha kwani kuna wasiojua sura wanajua jina tu
Mpwa unataka kumtumbua nn pengine nalo jipu usisahau ganzi kafiwa huyuPole mkuu,
ila kuhusu kuanika picha yake hapa ni sawa? umepata ruhusa yeyote toka kwenye familia ya marehemu?
Nauliza tu,
Samahani lakini.
Mmh hizi chati za whatsapp hadharani na majina ya watu juu!!!View attachment 324867
R.I.P college mate
Pole sana mkuu..Laura George yuko Wwf kikazi!N-imeachia kinywa kwa mshangao. ! Anita nimesoma naye weruweru1996-1998 chini ya Mama M-suyu wakati ule . ANITA mara ya mwisho kumwona ilikuwa pale mwenge kwa wadada wa kusuka tukaongea kidogo...ilikuwa kama miaka mitatu au miwili iliyopita. Mtoa taarifa Anita alikuwa anaumwa nini jamani/?Wema hawakai Jamani lol! Kwa wanaomkumbuka Laura George wa ITV zamani huyu ni dada wa Anita kabisa. Lo! nGUMU KUAMINI.
Anita tulikuwa darasa moja liliitwa PLAIN na akina Anande mwasha, dhelida mfanga. Rafiki yake mkubwa alikuwa Dida muhamed. Huyu binti alikuwa na roho nzuri hakujisikia kama walivyokuwa wengine kwenye kundi lake.
Mungu amuweke pema peponi. AMEN
Mkuu umeenda mbali sana,hizo picha za kwenye magazeti za matangazo ya vifo huwekwa na ndugu za marehemu,huyu ni just Class mate,anyway potezea kama hujanielewaSHIDA N KUCREAM PICHA HAZIRUHUSIWI...NILITARAJI UNGEMUULIa private pengine alikuwa kipenzi chake shuleni...jamani mengine mkiona andiken TU rip inatosha
Oohhh yanini mlitaka awawekee ya jeneza
Mkuu ulikuwa unamjua na mwalimu kirumbuyo kipindi hichoN-imeachia kinywa kwa mshangao. ! Anita nimesoma naye weruweru1996-1998 chini ya Mama M-suyu wakati ule . ANITA mara ya mwisho kumwona ilikuwa pale mwenge kwa wadada wa kusuka tukaongea kidogo...ilikuwa kama miaka mitatu au miwili iliyopita. Mtoa taarifa Anita alikuwa anaumwa nini jamani/?Wema hawakai Jamani lol! Kwa wanaomkumbuka Laura George wa ITV zamani huyu ni dada wa Anita kabisa. Lo! nGUMU KUAMINI.
Anita tulikuwa darasa moja liliitwa PLAIN na akina Anande mwasha, dhelida mfanga. Rafiki yake mkubwa alikuwa Dida muhamed. Huyu binti alikuwa na roho nzuri hakujisikia kama walivyokuwa wengine kwenye kundi lake.
Mungu amuweke pema peponi. AMEN