R.I.P Neema

Hakuna asieguswa na huu mkasa wa Neema.

Inafundisha
 
Yote kwa binadamu yanapata maana baada ya Mungu..! Nikupe pole kwa kumpoteza mpendwa wako na Mungu amsamehe na kumpokea mbinguni..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana, pole. May her soul continue to rest in eternal peace.
 
Sakayo wangu... huku si kwa kukukimbilia... kunatisha...
Na kunatisha zaidi unapoona umpendae anatangulia humo, babu tutaendamo wote..... Sina tena machozi mieee
 
Na kunatisha zaidi unapoona umpendae anatangulia humo, babu tutaendamo wote..... Sina tena machozi mieee
Hahahah yani wewe Sakayo wewe... kweli unapenda mimim niende huko?
 

Attachments

  • upload_2017-8-5_23-47-20.jpeg
    10.2 KB · Views: 37
RIP Neema.... Ulijitahidi kuupigania uhai wako lkn Mungu akisema rudi hakuna wa kupinga.....
Mkuu Mungu akubariki
kwa kujitoa kwako though inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Swahiba... heri ya sikukuu nyingi... tuanzie na ya Sabasaba...
 
Reactions: ram
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…