R.i.p my lovely dad

R.i.p my lovely dad

Pole sana ijoz. Naungana nawe ktk kumshukuru Mungu kwa kukupa baba ambaye amekuachia kumbukumbu ya mwenendo mwema na mfano wa kuigwa. Ni kwa neema ya Mungu tu ulipata hilo. Tuseme sote pamoja "Asante Mungu".
Baba apumzike kwa amani. Amina.
 
Last edited by a moderator:
Siku kama ya leo tar.17/3/2011 baba yangu aliaga dunia.
Alikuwa ni mume mzuri kwa mama yangu,baba mzuri kwa sisi wanawe,mtani mzuri kwa wajukuu zake na watu wengine na mshauri mzuri kwa jamii. Alipenda kuishi kwa mifano,alijenga misingi ya sisi kujitegemea.
Hakika siwezi kumsahau baba yangu,mshauri wangu, na rafiki yangu. Juhudi zake na baraka zake nazishuhudia hadi leo hii.
Baba, kama Mwenyezi Mungu atatukutanisha tena Mbinguni na kunitaka nichague baba,wewe utaendelea kuwa ni baba yangu pekee na chaguo langu sahihi.
I feel proud to be your son.

A very inspiring tribute. Thanks ijoz
 
Last edited by a moderator:
Pole sana. R.I.P baba.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nakushukuruni wote kwa kuchangia thread hii. Kupitia ninyi nimefarijika,mmekuwa sehemu ya familia yetu. Michango yenu imenifanya niitafakari kwa umuhimu na uzito mkubwa.
Mungu Muumba ambariki kila mmoja wetu kwa nafasi yake na kwa kadiri yeye Mungu anavyoona inafaa.
Thank you a million times.
 
Siku kama ya leo tar.17/3/2011
baba yangu aliaga dunia.
Alikuwa ni mume mzuri kwa mama yangu,baba mzuri kwa sisi wanawe,mtani
mzuri kwa wajukuu zake na watu wengine na mshauri mzuri kwa jamii.
Alipenda kuishi kwa mifano,alijenga misingi ya sisi kujitegemea.
Hakika siwezi kumsahau baba yangu,mshauri wangu, na rafiki yangu. Juhudi
zake na baraka zake nazishuhudia hadi leo hii.
Baba, kama Mwenyezi Mungu atatukutanisha tena Mbinguni na kunitaka
nichague baba,wewe utaendelea kuwa ni baba yangu pekee na chaguo langu
sahihi.
I feel proud to be your son.

Pole sana
 
Siku kama ya leo tar.17/3/2011 baba yangu aliaga dunia.
Alikuwa ni mume mzuri kwa mama yangu,baba mzuri kwa sisi wanawe,mtani mzuri kwa wajukuu zake na watu wengine na mshauri mzuri kwa jamii. Alipenda kuishi kwa mifano,alijenga misingi ya sisi kujitegemea.
Hakika siwezi kumsahau baba yangu,mshauri wangu, na rafiki yangu. Juhudi zake na baraka zake nazishuhudia hadi leo hii.
Baba, kama Mwenyezi Mungu atatukutanisha tena Mbinguni na kunitaka nichague baba,wewe utaendelea kuwa ni baba yangu pekee na chaguo langu sahihi.
I feel proud to be your son.

May his soul rest in peace
 
Gone too soon
 
Back
Top Bottom