Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 834
mimi napata gb12 kwa 10000 mwezi
Unajua hapa tuna link price na internet speed..! Airtel wana speed kimeo sana kwa maeneo mengi,basi wangekua na hata 4G lakin hawana ,itakua haina maana hata upewe gb10 kwa sh 500 then speed ni yakobe...Njoo airtel unapata kifurushi cha sh1000 ukifika kwa mangi, mwambie hivi nataka vc ya chuo ya buku. akikupa fanya hivi *149*94*.........…...#ok. utapata gb2 dk100 airtel na dk10 mitandao mingine kwa siku 3 (kinachacha baada ya Siku tatu) mwenzio kila siku napakua mi cinema.
Inategemea na eneo, sijajua upo maeneo gani. mi nipo Masaki speed uko vizuri sana, nimedownload movie ya Donie Yen in the line of duty4 yenye mb390 kwa dk kama 15-20 na kila siku na enjoyUnajua hapa tuna link price na internet speed..! Airtel wana speed kimeo sana kwa maeneo mengi,basi wangekua na hata 4G lakin hawana ,itakua haina maana hata upewe gb10 kwa sh 500 then speed ni yakobe...
Mb 390 kwa dk 20 speed ya kobe hiyo kaka..Inategemea na eneo, sijajua upo maeneo gani. mi nipo Masaki speed uko vizuri sana, nimedownload movie ya Donie Yen in the line of duty4 yenye mb390 kwa dk kama 15-20 na kila siku na enjoy
mi sio mtaalamu sana wa haya mambo, mi nilijua hii ni speed nzuri kwa kuwa matumizi yangu sio mengi sana, mfano mi natumia cm kudownload movie, natumia videoder ama bit torrent, lkn kwa sawa bit torrent inazingua, kwa hiyo unataka kusema kuwa, kama movie 1gb inatakiwa niipakue kwa dk ngapi kwa speed nzuri? nawe unatumia mtandao gani?Mb 390 kwa dk 20 speed ya kobe hiyo kaka..
Sasa heavy user tunae mzungumZia hapa hyo speed haitosh..mie nawaza kushusha battlefield 1 hapa ina gb 49 si ntakaa wiki mbili na hyo speed.
Moviez nashusha 1080p almost 2gb per movie nahitaj not less than1MBs..Airtel hawana hiyo speed
Bit torrent inakuzngua wap?mi sio mtaalamu sana wa haya mambo, mi nilijua hii ni speed nzuri kwa kuwa matumizi yangu sio mengi sana, mfano mi natumia cm kudownload movie, natumia videoder ama bit torrent, lkn kwa sawa bit torrent inazingua, kwa hiyo unataka kusema kuwa, kama movie 1gb inatakiwa niipakue kwa dk ngapi kwa speed nzuri? nawe unatumia mtandao gani?
kwangu pia speed ni nzuri sana 10mbps kwa airtel usiku na mchana 6mbps sikosi,Unajua hapa tuna link price na internet speed..! Airtel wana speed kimeo sana kwa maeneo mengi,basi wangekua na hata 4G lakin hawana ,itakua haina maana hata upewe gb10 kwa sh 500 then speed ni yakobe...
Mimi voda 3g napata above 1MBs na 4G pia ni above 2MBsDuu! si mchezo ndio mnaita 4g? mi laini ya voda ya 4g ninayo pia lkn cm yangu ni3g je inaweza kusapoti hiyo kasi?. bit torret inanisumbua mfano naandika movie katika torrent kisha inanipeleka Google, nikiipata inatakiwa nii- add katika torrent ili ianzee kudownload lkn kwa sasa inakataa wakati nyuma nilikuwa napakua kwa style hiyo. hata utorrent pia, Mara nyingine natumia telegram, ila hii siipendi sana kwa kuwa unapata tu movie walizo weka wao, ukiandika zako hupati.
Duu! si mchezo ndio mnaita 4g? mi laini ya voda ya 4g ninayo pia lkn cm yangu ni3g je inaweza kusapoti hiyo kasi?. bit torret inanisumbua mfano naandika movie katika torrent kisha inanipeleka Google, nikiipata inatakiwa nii- add katika torrent ili ianzee kudownload lkn kwa sasa inakataa wakati nyuma nilikuwa napakua kwa style hiyo. hata utorrent pia, Mara nyingine natumia telegram, ila hii siipendi sana kwa kuwa unapata tu movie walizo weka wao, ukiandika zako hupati.
Kaka na wewe umo humu ndani ka (Mau)Njoo voda, 3GB kwa 2000/=
Siku tano
Airtel 2.5GB kwa 2,000/=Kama kawaida yangu huwa naunga kile kifurushi cha GB 2.8 kwa 2000 kila siku kwa mtandao wa Halotel, Ila leo cha kushangaza ni kwamba kwa sasa nitaweza kupata gb 1.5,
Maumivu nayoyapata ni makali sana maana hizo gb 1.3 walizozipiga panga ni nyingi sana, Napenda kutumia internet kuanzia youtube , streaming plus downloading various stuff,
Hapa nilipo ninawaza sana ni jinsi gani ntavyoweza ku utilize hizi G.B 1.5 ili kutumia internet kama hapo awali
Guys haya ni majanga kwa Heavy Internet users kama mimi walichofanya halotel niliokuwa nawategemea sana na hapa ndio kwanza hata sijui nihamie wapi maana voda, tigo na Airtel
wana bei zao nilizozikimbiaga zamani sana na kuhamia mtandao wa Halotel waliokuwa wana unafuu kupita kiasi enzi hizo.
NAOMBENI USHAURI AMA NYONGEZA NDUGU WANAJAMII
Mkuu unafanyaje kupata?Njoo airtel 1000 unapata gb 2 na midakika kibaooooo
Speed ya internet inategemea na sehemu uliyopo. Mimi nina laini ya halotel lakini speed ni slow sana kwenye ku-stream video buffering nyingi sana. Nikabidi nitumie laini ya airtel ndio niliyokuwa natumia. Ila baadae nikatafuta laini ya chuo ya halotel kwavile vifurushi vyake bei nafuu. Siku ya uefa champions league laini iliniboa sana maana internet ipo slow sana kwenye kuangalia live match. Nikabidi niweke laini ya airtel, baada ya nikaangalia mpira fresh kabisa bila kukwama kwama.Kumbe speed ipo slow, duuh
Nunua vocha za chuo za airtel, kuna UNI ya 600,1000,1500 na 6000. Ukishindwa kupata hizi vocha nunua via airtel money ingia ofa kabambe then kupata ofa za uni.Mkuu unafanyaje kupata?
Mb500 nowSajili laini ya chuo halotel jero mb 600 wiki
Sijakuelewa mkuu, nimo ndani humu kivipi?Kaka na wewe umo humu ndani ka (Mau)