R.I.P kifurushi changu pendwa cha Halotel

R.I.P kifurushi changu pendwa cha Halotel

2.8GB per day != Heavy Internet User

2000 per day means kama utaunga kila siku Total monthly cost itakua around 60,000/=

Kuna Bundle za Unlimited zinacheza kwenye 70,000/= kwa Smile na Smart nafikiri
Bundle ipi hio....please nipe derails nipo tayari kulipia
 
2.8GB per day != Heavy Internet User

2000 per day means kama utaunga kila siku Total monthly cost itakua around 60,000/=

Kuna Bundle za Unlimited zinacheza kwenye 70,000/= kwa Smile na Smart nafikiri
Mkuu nilikucheki PM kuna issue nlkuulza check PM kaka.
 
Sh 500 unapata mb 600
Hiyo 2000 yako ukinunua mb 600 mara nne utapata gb ngapi?
Tena unatumia wiki nzima
Sihami halotel
 
Sajili laini ya chuo halotel jero mb 600 wiki
Sasa mb 600 nazo unaziongelea hapa, wengine hizo zinaisha kwa whatsapp tu, kuna kushusha movie, series yaani matumizi makubwa.
Ndio maana huu uzi umewekwa hapa mkuu. Hatuongelei MB bali GB...
 
Sasa mb 600 nazo unaziongelea hapa, wengine hizo zinaisha kwa whatsapp tu, kuna kushusha movie, series yaani matumizi makubwa.
Ndio maana huu uzi umewekwa hapa mkuu. Hatuongelei MB bali GB...
Io unaunga mara nyingi kwa wakati mmoja. Ni kama una elf 5 utaiunga jero mara 10. Sasa 10*600mb unapata GB 5 plus kwa wiki. Hapo speed ya Halotel ipo poa
 
airtel wanavifurushi bomba tatzo speed yao kobe ana afadhali tena kama upo mbali na town ndio majanga
 
airtel wanavifurushi bomba tatzo speed yao kobe ana afadhali tena kama upo mbali na town ndio majanga
Nipo mbezi shamba,episode ya mb 280 nadownload kwa dk 5,kwa speed ya kibongo bongo naona ipo vizuri tu
 
Nunua laini ya Halotel ya mwanachuo, inauzwa sh. 5000|=

Si bora ninunue ya Zantel ya buku! Mbona wako vizuli tu! Japo na wenyewe wana uhaba wa wateje hivyo wana katabia ka kumega kidogo unapoweka ka vocha kako
 
Back
Top Bottom