white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,320
- 2,488
sasa ni sisi au wewe mwenye shida?Pitia threads zangu za nyuma
yaani tuanze kutafuta thread zako za nyuma halafu ndo tukushauri duh! hii sasa kazi
ila ushauri wangu kama upo chuo concetrate na kilichokupeleka (masomo)kama unataka kuendekeza harakati, migomo,siasa za kimapinduzi kujikuta malcom X au martin Luther jr trust me utasumbuliwa mpaka uone maisha machungu na mwisho wa siku utafukuzwa tu