ellyrehema
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 1,197
- 1,018
Vyeti vya kufoji, au kakamatwa na semester
Mkuu unawezaga ukafatilia hata uzi moja ujue kulikoni.
Sasa watu wananiambia niseme ila ni mengi ndio maana nimewaambia kama wameguswa wanaweza pitia nyuzi mbili tatu sasa hawaelewi
Asante mkuu.Mkuu mambo ni mengi? kwani haukufupisha habari kwa maneno 200 katika somo la kiswahili o-level? weka main points usaidiwe mkuu!
Very long story.Mkuu r.i.p degree yako??
Eleza eleza basi nini tatizo tujue tunakushauri vipi sasa?