R.I.P Dada yangu kipenzi

RIP dada

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
Poleni sana wapendwa Mungu akawe faraja kwenu, pumzika kwa Amani Dada.
 
Pole sana ndugu yangu Mungu awape nguvu.
 
Poleni

Kifo na uhai vimetenganishwa na mpaka mdogo sana
 
Pumziko La Amani Apate huko aendako Dada.
 
Mod uwe unaziondoa hizi uzi zaka kansa, Hawa watu wanazingua, wengine ndugu zetu kibao wamekufa na kansa lakin hatuji kutangaza huku jf

Wewe sio wa kwanza kufiwa na ndugu kwa ugonjwa wa kansa mnakera sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…