barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Yawezekana aliaga labda juzi, au alikuwa anadanga kidogo mitaa ya kinondoni.Kwahiyo kumbe Field yake alikuwa anaifanyia mjini na katika Madaladala badala ya huko Bagamoyo kama ambavyo alisema? Kazi ipo hakyanani!
Machoko kama hao ni wa kuwapuuza mkuuAcha upumbavu na ujinga..
Chuo NITJapo ameshatangulia mbele ya haki ila kinachonishangaza kama siyo kunisikitisha tu ni kwamba mpaka sasa haijulikani anasoma Chuo gani na anaishi wapi isipokuwa kila mmoja anatiririka na anaserereka ajuavyo Yeye.
NIT bwana.Raha ya milele umpatie eeh Bwana.............Japo ameshatangulia mbele ya haki ila kinachonishangaza kama siyo kunisikitisha tu ni kwamba mpaka sasa haijulikani anasoma Chuo gani na anaishi wapi isipokuwa kila mmoja anatiririka na anaserereka ajuavyo Yeye.
Kama mzazi na kaka nimeumia sana sana damu yako usiye na hatia na iwe juu yaoR.I.P
Leo umekuwa mgeni wa mitandao akati na wew unakurupukaga na vitaarfa vyako vya uchochoroniAliyeleta taarifa wa Kwanza kabisa kwa ' Kiherehere ' chake alituaminisha kabisa kwamba alikuwa ni Mwanafunzi wa UDSM na nina wasiwasi muda si mrefu kuna Watu watakuja na kusema ni Mwanafunzi wa TEOFILO Kisanji na wengine VETA Keko na hata wa KAM College.
Japo ameshatangulia mbele ya haki ila kinachonishangaza kama siyo kunisikitisha tu ni kwamba mpaka sasa haijulikani anasoma Chuo gani na anaishi wapi isipokuwa kila mmoja anatiririka na anaserereka ajuavyo Yeye.
Acha UPUMBAVU ufiche kidogo hili lipite uendelee na upumbavu wakoIla kazuri, Ngweah atakasumbua sana huko alikoenda.
Utakua hauko sawah so bureJapo ameshatangulia mbele ya haki ila kinachonishangaza kama siyo kunisikitisha tu ni kwamba mpaka sasa haijulikani anasoma Chuo gani na anaishi wapi isipokuwa kila mmoja anatiririka na anaserereka ajuavyo Yeye.