Ilikuwa ni asubuhi tulivu siku ya tarehe 23 .8. 2016 ulipo ondoka gafla baba yangu mpendwa na kutuachia huzuni kuu ndani ya mioyo yetu.
Wanao wapendwa ni mwaka sasa tangu ututoke kila ni kikukumbuka natokwa na machozi kwani ulikuwa mtu muhimu sana katika maisha yangu ila itabidi tushukuru kwa kila jambo.